• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

SHANGAZI AKUJIBU: Amezidi kwa ngoma hata nikiugua hanipi nafasi!

Na SHANGAZI SHANGAZI natumai wewe ni mzima. Mimi pia ni mzima, nashukuru. Nina mpenzi tunayependana sana lakini ana tatizo moja tu....

SHANGAZI AKUJIBU: Sitaki kumueleza nina mke akaja akanitoroka!

Na SHANGAZI KWAKO shangazi. Mimi nina mke na tuna mtoto. Kuna mwanamke mwingine ambaye nampenda naye pia ameniambia ananipenda....

SHANGAZI AKUJIBU: Baba halisi anadai mtoto niliyelea miaka 3, ni haki?

Na SHANGAZI KWAKO shangazi. Nilioa mwanamke ambaye alikuwa amezaa mtoto na mpenzi wake wa awali. Nilimkubali pamoja na mtoto wake na...

SHANGAZI AKUJIBU: Mbona mpenzi alinikana baada ya kuhamia mji tofauti?

Na SHANGAZI HABARI zako shangazi? Mwanamke aliyekuwa mpenzi wangu alihamishwa kikazi hadi mji tofauti. Nafikiri alibadilisha ghafla...

SHANGAZI AKUJIBU: Nasubiri kupata kazi kwanza kisha nitafute mpenzi

Na SHANGAZI SHIKAMOO shangazi! Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo kikuu. Mimi sina mpenzi ingawa wengi wa marafiki zangu...

SHANGAZI AKUJIBU: Umri unazidi kuyoyoma, nitampata wapi wa kuoa?

Na SHANGAZI HABARI zako shangazi? Nakuja kwako na matumaini kwamba utanisaidia. Sijawahi kuwa na mpenzi maishani. Sasa nina umri wa...

SHANGAZI AKUJIBU: Tuliyeachana kisha tukarudiana hataki tupimwe

Na SHANGAZI VIPI shangazi? Nilikuwa na mpenzi lakini akaniacha akashikana na mwanamume mwingine. Uhusiano wao umechukua miezi mitatu tu...

SHANGAZI AKUJIBU: Ukatili wa mpenzi kunitema na kuhama wanishtua

Na SHANGAZI HUJAMBO Shangazi? Nimekuwa nikiishi na mpenzi wangu ambaye tumezaa mtoto pamoja. Amekuwa akiahidi kunioa lakini kitendo...

SHANGAZI AKUJIBU: Wivu kupindukia umefanya wapenzi wanitoroke

Na SHANGAZI SHIKAMOO Shangazi! Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 27. Nina tatizo fulani kuhusu nafsi yangu. Nina wivu sana na hali...

SHANGAZI AKUJIBU: Jamaa wa mke wametufilisisha, sijui nifanye nini

Na SHANGAZI KWAKO shangazi. Nahitaji ushauri wako tafadhali. Nimeoa kutoka kwa familia maskini. Mimi na mke wangu tunafanya kazi lakini...

SHANGAZI AKUJIBU: Kisomo cha mpenzi wangu kinanitia kiwewe

Na SHANGAZI VIPI shangazi? Nina mwanamke mpenzi wangu ambaye anasoma chuo kikuu. Mimi sijasoma kama yeye, nilifika darasa la nane tu....

SHANGAZI AKUJIBU: Demu wangu ghafla ameanza kuwa baridi sana

Na SHANGAZI VIPI shangazi? Nimekuwa na msichana mpenzi wangu kwa miaka miwili sasa na nampenda kwa dhati. Hata hivyo, katika miezi...