• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 PM

Siaya kaunti ya kwanza kupitisha BBI

RUSHDIE OUDIA na CHARLES WASONGA BUNGE la Kaunti ya Siaya ndilo la kwanza kupitishwa mswada wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa...

Majambazi watatu wabambwa Siaya

DICKENS WESONGA Polisi katika kaunti ya Siaya wanawazuilia washukiwa watatu wanaoaminika kuwa genge linalowavamia wakazi. Washukiwa hao...

Askofu wa Siaya aliyetoweka Januari apatikana ameuawa

Na CHARLES WASONGA MWILI wa Askofu Charles Oduor Awich aliyetoweka katika eneobunge la Alego Usonga, Kaunti ya Siaya Januari 2020...

Gavana kikaangoni kutumia fedha zaidi kulipa mishahara

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ya kaunti ya Siaya inayoongozwa na Gavana Cornel Rasanga jana ilielekezewa lawama kwa kutumia pesa kuliko...

Mifupa ya binadamu iliyopatikana shambani yapelekwa mochari

Na RICHARD MUNGUTI MIFUPA ya binadamu iliyookotwa katika shamba moja erneo la Ugunja Ijumaa ilipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti...

Takwimu: Siaya yaongoza kwa idadi kubwa zaidi ya vifo nchini

Na DOROTHY OTIENO na JOSHUA MUTISYA IKIWA unaishi Siaya, una uwezo mkubwa zaidi kufariki kabla ya muda wako ikilinganishwa na yeyote...