• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:56 PM

Ibada iliyoangusha kampuni za kamari za Betin, SportPesa

Na PAUL WAFULA MASAIBU ya kampuni ya SportPesa na kampuni nyingine za uchezaji kamari yalianza Mei mwaka uliopita, baada ya ibada moja...

SportPesa yarejea

Na CHARLES WASONGA SEKTA ya kamari imepata mwamko mpya baada Bodi ya Kudhibiti Kamari Nchini (BCLB) kurejesha leseni ya kuhudumu ya...

Mabilioni ya SportPesa yanarejea?

Na GEOFFREY ANENE KAMPUNI ya kamari ya SportPesa imeashiria inapanga kurejea katika soko la Kenya, saa chache tu baada ya Rais Uhuru...

Sportpesa watemwa EPL na klabu ya Everton

Na GEOFFREY ANENE WADHAMINI wa zamani wa Gor Mahia, AFC Leopards pamoja na Ligi Kuu ya Kenya (KPL), SportPesa wamepata pigo jingine...

Kujiondoa kwa Sportpesa na Betin kutaisaidia nchi pakuu – Kanini Kega

Na Stephen Munyiri MBUNGE wa Kieni Bw Kanini Keega ameunga mkono hatua ya kampuni za kamari za Sportpesa na Betin kusimamisha shughuli...

SportPesa, Betin zasitisha shughuli Kenya

Na MARY WANGARI KAMPUNI za ubashiri wa matokeo ya michezo za SportPesa na Betin, zimefunga shughuli nchini kwa sababu ya mvutano...

Sportpesa yaruhusiwa kerejelea biashara

NA BRIAN OKINDA [email protected] KAMPUNI ya Sportpesa imejiunga na baadhi ya kampuni zingine za kamari nchini...

Ligi yatarajiwa kuanza ila kombe la kuwaniwa halijanunuliwa

Na CECIL ODONGO HUKU yakisalia majuma mawili pekee kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) kuanza, kampuni inayoendesha ligi hiyo...

Sportpesa yafichua imekuwa ikipata faida ya Sh54 milioni kila siku

Na PETER MBURU KAMPUNI ya michezo na Kamari Sportpesa 2018 ilikuwa ikipata faida ya Sh38, 051.75 kila dakika, ama Sh634 kila sekunde...

Kinaya Sportpesa kutuzwa na serikali kisha kuzimwa

Na VALENTINE OBARA NIA halisi ya serikali kupiga marufuku kampuni za uchezaji kamari nchini, imeanza kutiliwa shaka kutokana na maelezo...

Droo ya timu za Afrika Mashariki kuchuana na Everton yatajwa

Na GEOFFREY ANENE DROO ya soka ya Afrika Mashariki ya kufuzu kukutana na klabu ya Everton ya Uingereza ya SportPesa Super Cup imefanywa...

Jackpot ya Sh208 milioni kwa mwanasiasa aliyewania ubunge na kubwagwa

NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA mwaniaji wa ubunge wa Konoin, Kaunti ya Bomet amejiunga na kundi la mamilionea baada ya kushinda Sh208...