• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

JAMVI: Mirindimo mipya ya Tangatanga baada ya BBI kuzikwa

Na WANDERI KAMAU MRENGO wa ‘Tangatanga’ umepata msisimko mpya wa kisiasa katika ukanda wa Mlima Kenya na Bonde la Ufa, kufuatia...

Tangatanga wapinga vikali mswada wa BBI

WINNIE A ONYANDO na CHARLES WASONGA MJADALA kuhusu Mswada wa Mageuzi ya Katiba chini ya Mpango wa Maridhiano (BBI), jana uliendelea...

Tangatanga walia kuteswa na wandani wa Uhuru

Na MWANGI MUIRURI VIONGOZI wanaoegemea upande wa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Mlima Kenya, wamedai kuhangaishwa wanapojiandaa...

Barasa: Waliozua fujo Kabuchai wangali huru, tunaonewa kama wandani wa Ruto

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kimilili Bw Didmus Barasa amedai wandani wa Naibu wa Rais, Dkt William Ruto wanahangaishwa kwa sababu ya...

Wabunge 4 wa Tangatanga wakamatwa kwa kuhonga wapigakura

 JARED NYATAYA na CHARLES WASONGA WABUNGE wanne wa mrengo wa Tangatanga wangali wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Bungoma baada...

Pigo kwa Jumwa na Tangatanga wakizimwa Kadu

Na CHARLES LWANGA WANASIASA wa pwani wanaomuunga mkono Naibu Rais William Ruto wamepata pigo kuu, baada ya juhudi zao za kuzindua upya...

Tangatanga watimua wahubiri na kuteka mazishi ya diwani

Na WAIKWA MAINA MAZISHI ya diwani Mburu Githinji wa wadi ya Rurii, Kaunti ya Nyandarua, Jumanne yaligeuka kuwa uwanja wa fujo baada ya...

Sibabaishwi na matusi yenu, Uhuru awaambia Tangatanga

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu amevunja kimya chake kuhusu tetesi za kundi la Tangatanga linalokosoa matamshi yake...

Tangatanga wamzomea Uhuru kwa matamshi

Na WANDERI KAMAU WANASIASA wa mrengo wa ‘Tangatanga’ wanaomuunga mkono Naibu Rais William Ruto, wamkashifu vikali Rais Uhuru...

Wazee wakemea matamshi ya chuki

Na Oscar Kakai BARAZA la wazee wa jamii ya Kalenjin (Myoot) limetadharisha wanasiasa wa mirengo ya Kieleweke na Tangatanga dhidi ya...

‘Tangatanga’ sasa wamtaka Uhuru kuvunja Bunge

Na Brian Ojamaa WABUNGE wanaoegemea mrengo wa ‘Tangatanga’ unaomuunga mkono Naibu Rais William Ruto, sasa wanamtaka Rais Uhuru...

Maswali 10 ya ‘Tangatanga’

Na WANDERI KAMAU MRENGO wa ‘Tangatanga’ Jumamosi uliitaka serikali kujibu maswali 10 kuhusu mpango wa kuwasajili upya Wakenya...