• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Kenya yapigia debe Tong-IL Moo-Do iwepo katika Olimpiki za 2028

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KENYA kwa pamoja na shirikisho la Tong-IL Moo-Do duniani zinapigia debe mierekea ya Tong-IL Moo-Do ijumuishwe...

Jasiri wa Kenya watamba miereka ya Tong-Il Moo-Do

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MABINGWA watetezi Kenya walikabiliwa na upinzani mkali licha ya kujiongezea idadi ya medali kwenye mashindano ya...

‘Serikali itawalipa wanamichezo kwa miezi miwili na wa tatu yatarajia mashirika na kampuni zitawafaa’

Na ABDULRAHMAN SHERIFF JANGA la corona limesababisha timu kadhaa za taifa za michezo na wanamichezo kushindwa kwenda ng’ambo kushiriki...

TONG-IL MOO-DO: Afisa aliyetia kibindoni medali ya fedha katika kitengo cha Sparring

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ALIKUWA miongoni mwa Wakenya waliotingisha wanamichezo wengine kutoka sehemu mbalimbali za dunia wakati wa...