• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:26 PM

Ulaghai ni kiini cha kutibua vita vya ufisadi – DPP

Na BRIAN OCHARO MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji amelaumu mitandao ya mabwenyenye kwa kutatiza kesi zinazowahusu...

PANDORA PAPERS: Marais wanavyokwepa ushuru na kuficha mabilioni ughaibuni

NA FAUSTINE NGILA MARAIS kadhaa na wakuu wa serikali duniani wametajwa katika ufichuzi wa hivi majuzi wa upelelezi wa jinsi mali ya...

UFISADI: Wazito sasa wafinywa

JOSEPH WANGUI na RICHARD MUNGUTI VITA dhidi ya ufisadi vimeanza kuzaa matunda kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya huku watu...

Sheria ya watu fisadi kuepuka korti yatua bungeni

Na IBRAHIM ORUKO WASHUKIWA wanaokabiliwa na ufisadi huenda siku zijazo wakahepa kufungwa gerezani iwapo watakubali kushirikiana na Afisi...

Miswada yataka walioshtakiwa wasiwanie viti

Na CHARLES WASONGA WANASIASA na maafisa wa serikali ambao wameshtakiwa kwa ufisadi sasa watazuiwa kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao,...

Miaka 10 ndani yamsubiri Wario kwa ufisadi

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA waziri wa Michezo na Jinsia, Dkt Hassan Wario huenda akasukumwa jela miaka 10 baada ya kupatikana na hatia...

LEONARD ONYANGO: Siasa zimesaidia wafisadi kuendelea kuponda raha

Na LEONARD ONYANGO MARA baada ya kutangaza kushirikiana na kinara wa ODM Raila Odinga mnamo Machi 2018, almaarufu handisheki, Rais Uhuru...

Mabilioni ya miradi ya serikali ndiyo ‘hutafunwa’ zaidi – Ripoti

Na PETER MBURU MIRADI inayofadhiliwa na fedha za walipa ushuru ndiyo inayotafunwa zaidi na maafisa fisadi serikalini, ripoti ya Mkaguzi...

Wito EACC ichunguze maafisa wa elimu

Na MAUREEN ONGALA CHAMA cha Walimu wa Sekondari (KUPPET) kimeomba Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) ianzishe uchunguzi...

LEONARD ONYANGO: Magavana waliofuja fedha za corona waandamwe

Na LEONARD ONYANGO KILA mara magavana wanapohutubia Wakenya kuhusiana na hali ya ugonjwa wa corona katika kaunti zao, wanaangua kilio...

Nyoro, Wamatangi walaumiana kuhu utafunaji wa pesa za corona

Na KAMAU MAICHUHIE MZOZO wa uongozi umechipuka kati ya Gavana wa Kiambu, James Nyoro, na Senata Kimani Wamatangi kuhusu madai ya ufujaji...

Zuma atakiwa ajiamulie kifungo anachotaka apewe

NA AP ALIYEKUWA rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ametakiwa kupendekeza kifungo ambacho angependa kupewa kwa kukwepa vikao vya...