• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 6:55 PM

SHAIRI: Msirarue maisha yangu

Nanena nisikike, Nitambulike nipewe haki yangu, Hadhi yangu nipate, Heshima zangu nipokee.   Elimu kamwe...

COVID-19: Msichana, 12, amtungia mama ambaye ni muuguzi shairi kumpongeza kwa kazi nzuri

Na PHYLLIS MUSASIA MWANAFUNZI Ida Kibet, 12, alizoea kumkaribisha mamake nyumbani kwa kumkumbatia akitoka kazini, lakini janga la...

Pigo kwa ushairi mlumbi maarufu Shamte akifariki

MISHI GONGO na HASSAN MUCHAI ULIMWENGU wa ushairi unaomboleza kifo cha mshairi mkongwe Abdallah Ali Shamte (pichani kushoto),...

MSHAIRI WETU: Dunneta Samama almaarufu ‘Malenga wa Mashinani’

Na CHRIS ADUNGO MASHAIRI yanaweza kutumiwa kuburudisha, kuelimisha, kuonya na hata kuipa jamii mwelekeo. Mashairi pia hutumiwa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya ushairi katika uwasilishaji wa Fasihi

Na CHRIS ADUNGO USHAIRI wa Kiswahili una dhima kubwa mno katika Fasihi Simulizi na Andishi. Ushairi umetumiwa sana katika tanzu...

USHAIRI WENU: Mtima wangu tulia

Mtima wangu tulia Mtima wangu sikia, jifunze kuvumilia,Mtima wangu tulia, machungu yapokujia,Mtima wangu umia, lakini usijelia,Mtima wangu...

USHAIRI WENU JUMAMOSI, MACHI 2, 2019

Na MKUSANYAJI WA MASHAIRI HAYA ni mashairi ambayo yamechapishwa kwenye gazeti la Taifa Leo toleo la Jumamosi, Machi 2,...

USHAIRI WENU: Kazi nitazochapa

Na DOTTO RANGIMOTO YA Rabi kutoka kapa, mjawo ninaogopa,Kazi nitakazochapa, waja wasije zikopa,Kisha zisikome hapa, zifike hadi...

SHAIRI: Ukapera siachi, muhibu sipati

Na FELIX GATUMO NAAMUA kwa hiari, kutoasi ukapera, Mahaba kwangu kwaheri, sitaki tena hasara, Akili yameathiri, yamenifyonza...

Mwaani Girls yang’aa kwenye mashindano ya kitaifa ya uigizaji

Na ANTHONY NJAGI MTAALA mpya ni miongoni mwa masuala yaliyonaswa katika Tamasha la Kitaifa la Michezo ya Kuigiza na Filamu yanayoendelea...

SHAIRI: Ushairi tujifunze, tupate kuumaizi

Na KULEI SEREM Istilahi za shairi, zimepangwa kwa mpororo,  Mishororo ni mistari, kama kamba na nyororo, Wengi wanatahadhari, ila ni...