• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:56 PM

Sababu za Zarika kubatilisha maamuzi ya kustaafu ndondi na kurejea ulingoni

Na CHRIS ADUNGO KABLA ya bondia Fatuma ‘Iron Fist’ Zarika kukubali kuchapana na Yamileth ‘Yeimi’ Mercado wa Mexico katika vita...

Zarika asema ana kiu ya kuvaana na bingwa WBC Yamileth Mercado

Na CHRIS ADUNGO MWANABONDIA Fatuma Zarika amesema kwamba bado ana kiu ya kuvaana na bingwa wa sasa wa taji la WBC duniani, Yamileth...

Zarika awakia serikali ya Kenya baada ya kulimwa Mexico

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Fatuma “Iron Fist” Zarika amepoteza taji lake la dunia la masumbwi kwenye uzani wa kati ya kilo 54 na 55...

Fatuma Zarika aahidi kurejea nchini na taji lake la dunia

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Fatuma Zarika ameahidi kurejea nchini Kenya na taji lake la dunia la Baraza la Ndondi Duniani (WBC)...

Zarika na Phiri nani ni zaidi ya mwingine?

Na GEOFFREY ANENE MKENYA Fatuma ‘Iron Fist’ Zarika ataweka taji lake dunia la WBC la uzani wa ‘Super bantam’ hatarini...

Zarika malkia wa magumi mwenye mwili wa chuma

Na CHRIS ADUNGO FATUMA Zarika ni miongoni mwa wanabondia wachache wa kike wa humu nchini ambao majina yao yamesalia kutafunwa vinywani...

Nilimtandika Zarika lakini majaji wakampa ushindi – Mercado

Na PETER MBURU MWANABONDIA kutoka Mexico Yamileth Mercado ambaye alipoteza vita dhidi ya Mkenya Fatuma Zarika sasa amelaumu majaji wa...