Makala

SHANGAZI AKUJIBU: Anaposti picha za mademu mitandaoni!

Na SHANGAZI October 28th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Shikamoo shangazi. Kila siku mpenzi wangu anaposti picha wanawake kwenye Instagram na TikTok. Nikimuuliza, anasema ni ‘content’. Je, huu ni mapenzi au utani?

 

Jibu: Huyo anatafuta likes, si mapenzi. Mwanaume anayekupenda hatakufanya uhisi kama ‘content’. Mwambie achague: awe influencer au awe mpenzi wako.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO