Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Dada kipenzi ameanza kuniita bro, amenitema?
Wanandoa wanaofarakana. Picha| Maktaba.
SWALI: Hujambo Shangazi. Mwanamke niliyempenda sana ameanza kuniita ‘brothe’. Sijui kama nimemkosea au ameacha kunipenda. Naomba ushauri.
Jibu: Ukisikia ukibadilishwa cheo kutoka mpenzi hadi bro, jua tayari umewekwa kwenye kundi la wasiohitajika kimapenzi. Songa mbele na maisha yako.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO