Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Hana haja nami
SWALI: Habari shangazi. Kuna huyo mwanadada nimemfisia sana. Nimejaribu kumkaribia ili numueleze hisia zangu ila naona hana haja nami kabisa. Nifanyeje.
Jibu: Hakuna haja ulazimishe kupendwa. Akikataa songa mbele, warembo wangali wengi.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO