Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Haniheshimu lakini naogopa kuachana naye
Wanandoa wanaofarakana. Picha| Maktaba.
SWALI: Vipi shangazi. Naogopa sana kuachana na mpenzi wangu hata kama haniheshimu. Je, hii ni kawaida?
Jibu: La! Heshima ikikosekana, mapenzi yanakuwa kama chai bila sukari, ina maana unainywa lakini haina utamu.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO