Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Hataki nivae nguo fupi au nitumie marashi!
Picha ya sketi fupi. Picha|Maktaba.
SWALI: Vipi Shangazi? Mpenzi wangu hataki nitumie marashi au nivae nguo fupi. Ana wivu au ananijali?
Jibu: Wivu uliovuka mipaka si mapenzi. Mapenzi ya kweli hukupa uhuru, si vizuizi.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO