Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Ma’ mkwe kiherehere tu anaingilia ndoa yetu sana

Na SHANGAZI December 14th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Shikamoo shangazi, mama mkwe anaingilia ndoa yangu kila mara.

Jibu: Heshima ni muhimu, lakini mipaka pia. Ndoa ni ya wawili, wazazi ni washauri, sio wa kutoa maamuzi.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO