Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mke anataka tufanye harusi ya Sh1 milioni ilhali mimi sina uwezo huo
Wanandoa baada ya kufanya harusi. Picha|Maktaba
SWALI: Hujambo Shangazi. Mpenzi wangu anataka harusi kama ya staa. Mimi hata suti sina. Naogopa kumwambia ukweli.
Jibu: Harusi si uwanja wa kuonyesha utajiri. Mwambie ukweli. Kama hataki harusi ya bajeti yenu basi hayuko tayari kuingia kwenye ndoa.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO