Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mpenzi anaugua lakini hataki kwenda hospitalini, nifanyeje?
Mgonjwa akipokea matibabu. Picha|Maktaba
SWALI: Vipi Shangazi. Binti ninayempenda anaonekana mgonjwa, kikohozi, homa, ana tatizo la kupumua. Lakini hataki twende hospitalini. Anasema yeye ni buheri wa afya. Nisaidie.
Jibu: Penzi si dawa. Kama hana nia ya kutunza afya yake, atawezaje kutunza mapenzi yenu? Akikataa jua kuna jambo analoficha.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO