Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mtoto ana tabia ya kulialia, wanasema nimemdekeza
Picha ya mtoto akilia. Picha|Hisani.
SWALI: Mwanangu wa kiume analia sana. Wanasema namlea vibaya. Kuna ukweeli hapo?
Jibu: Kulia si udhaifu. Unamlea binadamu, si jiwe. Mfundishe kudhibiti hisia, si kuzificha.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO