Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Mume ataka kunitenga katika utunzaji wa pesa za kodi tukijenga ploti

Na SHANGAZI November 11th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Tunapanga kujenga nyumba ya kukodisha lakini mume wangu anasisitiza pesa zote ziwekwe kwa jina lake. Je, ni sawa?

Jibu: Ikiwa ni mali ya ndoa, haina haja kuandika jina la mtu mmoja. Shirikianeni kwa uwazi na muweke kila kitu kwa haki kwa manufaa yenu wawili. Kuna wale huchagua kukubaliana wafungue akaunti za pamoja ili uwazi upatikane. Mnaweza kufanya uamuzi wenu.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO