Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Nimejipata na mademu watatu, nichague vipi?

Na SHANGAZI October 23rd, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Nimejipata na mademu watatu, nichague vipi?

Nina miaka 34 na ninatafuta mchumba. Nimekutana na wanawake watatu ambao wananipenda na kila mmoja ananivutia kwa namna yake.

 

Jibu: Ni vigumu kupata wanawake watatu wanaoridhisha moyo wako kwa pamoja. Ingawa unasema umechanganyikiwa itabidi uchague mmoja awe mchumba. Chaguo lako litategemea moyo wako. Usiangalie tu maumbile, tabia hasa ndiyo muhimu.

 

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO