Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Ninayemezea mate aniita ndugu, hanitaki?

Na SHANGAZI November 23rd, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Hujambo Shangazi. Mwanamke niliyempenda sana ameanza kuniita ‘brother’. Ameacha kunipenda. Naomba ushauri.

Jibu: Ukisikia ukibadilishwa cheo kutoka mpenzi hadi bro, jua tayari umewekwa kwenye kundi la wasiohitajika kimapenzi. Songa mbele na maisha yako.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO