Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU:Kijana jamala wa ‘Gym’ sasa animezea mate

Na SHANGAZI November 24th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Vipi Shangazi. Nimependa mhudumu wa gym ninakofanya mazoezi. Kila siku ananisifu na kweli naona tamaa machoni mwake. Hata ananiambia nikuje mafunzo ya kipekee. Nimechanganyikiwa.

Jibu: Baadhi yao hufanya kazi ya kusifu wateja ili warudi kesho. Usichukue maneno yake kama ishara ya mapenzi. Kaa macho.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO