Matunda S.A Secondary School, Lukuyani
Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Upili ya Matunda SA waliojishindia mashati-tao ya Taifa Leo baada ya kujibu maswali ya chemshabongo ipasavyo siku ya kuzinduliwa rasmi kwa mradi wa NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wakizamia uhondo wa picha, habari na makala wakati wa hamasisho la mradi wa Newspapers in Education (NiE). PICHA| CHRIS ADUNGO
Afisa wa mauzo wa Nation Media Group (NMG), Bw Francis Ambechi, akiwahamasisha wanafunzi wa Shule ya Upili ya Matunda S.A kuhusu manufaa ya kuwa wasomaji wa mara kwa mara wa magazeti. PICHA| CHRIS ADUNGO
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Upili ya Matunda S.A wakinyanyua mikono kuwania fursa ya kujibu maswali ya chemshabongo wakati wa hamasisho la mradi wa NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Baadhi ya viranja wa Shule ya Upili ya Matunda S.A walipopigwa picha ya pamoja baada ya hamasisho la mradi wa NiE kukamilika. PICHA| CHRIS ADUNGO
Students walk from the assembly hall back to their classrooms after the activation. They were taken through the academic content published in the Daily Nation and Taifa Leo newspapers. PHOTO| CHRIS ADUNGO| NATION
Matunda SA Secondary School Principal, Ms Kivayiru Luvanda, gives her address during the launch of the NiE programme. PHOTO| CHRIS ADUNGO| NATION