TAIFA LEO Logo
  • Habari
    • Habari za Kitaifa
    • Habari za Kaunti
    • Kimataifa
  • Siasa
  • Maoni
  • Makala
    • Afya na Jamii
    • Lugha, Fasihi na Elimu
    • Akili Mali
    • Jamvi La Siasa
    • Shangazi Akujibu
    • Bambika
    • Pambo
    • Dimba
  • Dondoo
  • Bi Taifa
  • Mashairi
  • Michezo
  • NIE Shuleni
NiE Shuleni

Shule ya AIC Moi Girls, Makueni

February 5th, 2026 Hamasisho la Magazeti katika ufunzaji wa Kiswahili lilipotua Makueni, katika Shule ya AIC Moi Girls, Kibwezi.
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya AIC Moi Girls Kibwezi wafurahia kupigwa picha baada ya kupewa zawadi ya T-shirt wakati wa zoezi la hamasisho la NIE lililofanyika shuleni humo. Julai 15, 2025. PICHA|BRIAN NZIOKI
Furaha tele kwa wanafunzi wa Moi Girls Kibwezi wakati wa hamasisho la NIE. PICHA|BRIAN NZIOKI
Naibu Mwalimu Mkuu wa Moi Girls (kati) ajumuika na walimu wengine kuchambua magazeti ya Taifa Leo na Nation wakati wa hamasisho la NIE shuleni humo. PICHA|BRIAN NZIOKI
Tabasamu na bashasha zikitawala miongoni mwa walimu wa AIC Moi Girls Kibwezi walipopiga picha ya pamoja baada ya hamasisho la NIE, zoezi lililolenga kuimarisha utamaduni wa usomaji shuleni humo. PICHA|BRIAN NZIOKI
TAIFA LEO Logo

Mitandao ya kijamii

Maarufu sana

Ikulu yageuka tumbo lisiloshiba ikimeza Sh17 bilioni kufikia katikati ya mwaka

March 6th, 2026

Mafuriko: Watu 25 waangamia mvua ikitarajiwa kuendelea kunyesha

March 8th, 2026

Jinsi Ng’eno aliwaokoa Kanja na DCI dhidi ya umati wenye hasira Angata Barikoi

March 2nd, 2026

Usikose

Kosa la kudondosha irabu katika kuandika maneno ya Kiswahili

March 9th, 2026

TAHARIRI: Kampeni hizi za mapema ni kikwazo kwa amani na ustawi

March 9th, 2026

Jombi asalimisha mkewe na watoto kwa jirani akisema wanafanana zaidi kumliko

March 9th, 2026
Copyright © 2026 Nation Media Group. All rights reserved.