Shule ya Bituyu FYM Comprehensive, Kimilili
                                    Kikosi cha wanafunzi waliotumbuiza wenzao, walimu na wageni kwa nyimbo na mashairi wakati wa hamasisho la mradi wa Newspapers in Education (NiE). 
                                
                                    
Wanafunzi walipokuwa wakifuatilia matukio na mawasilisho kwa makini wakati wa hamasisho. 
                                
                                    Baadhi ya walimu wa Shule ya Bituyu Comprehensive iliyoko Kimilili, Kaunti ya Bungoma, walipopigwa picha baada ya hamasisho la NiE kukamilika.
                                
                                    Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Bituyu FYM waonea fahari mashati-tao ya Taifa Leo. PICHA| CHRIS ADUNGO
                                
                                    Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Bituyu FYM iliyoko Kimilili, Kaunti ya Bungoma, asoma Taifa Leo.