TAIFA LEO Logo
  • Habari
    • Habari za Kitaifa
    • Habari za Kaunti
    • Kimataifa
  • Siasa
  • Maoni
  • Makala
    • Afya na Jamii
    • Lugha, Fasihi na Elimu
    • Akili Mali
    • Jamvi La Siasa
    • Shangazi Akujibu
    • Bambika
    • Pambo
    • Dimba
  • Dondoo
  • Bi Taifa
  • Mashairi
  • Michezo
  • NIE Shuleni
NiE Shuleni

Shule ya Bituyu FYM Comprehensive, Kimilili

February 10th, 2025 Wanafunzi wa Shule ya Bituyu FYM Comprehensive, Kimilili walivyochangamkia hamasisho la Elimu kupitia Magazeti, almaarufu Newspaper in Education (NiE).
Kikosi cha wanafunzi waliotumbuiza wenzao, walimu na wageni kwa nyimbo na mashairi wakati wa hamasisho la mradi wa Newspapers in Education (NiE).
Wanafunzi walipokuwa wakifuatilia matukio na mawasilisho kwa makini wakati wa hamasisho.
Baadhi ya walimu wa Shule ya Bituyu Comprehensive iliyoko Kimilili, Kaunti ya Bungoma, walipopigwa picha baada ya hamasisho la NiE kukamilika.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Bituyu FYM waonea fahari mashati-tao ya Taifa Leo. PICHA| CHRIS ADUNGO
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Bituyu FYM iliyoko Kimilili, Kaunti ya Bungoma, asoma Taifa Leo.
TAIFA LEO Logo

Mitandao ya kijamii

Maarufu sana

Wasuka mikakati kuhama Kenya Kwanza

June 29th, 2025

Afisa wa polisi aliyemuua bosi wake amiminiwa risasi na wenzake na kufariki

June 30th, 2025

Juni 25, 2025: Picha za matukio ya maandamano ya Gen Z

June 25th, 2025

Usikose

Changamoto za uundaji IEBC mpya zatia doa kura ya 2027

July 2nd, 2025

Ripoti: Mauaji yamesukuma raia kufyata ndimi zao, kujikunyata kwa woga

July 2nd, 2025

Uingereza yajibu Murkomen kuhusu maandamano nchini

July 2nd, 2025
Copyright © 2025 Nation Media Group. All rights reserved.