Shule ya Upili ya Boror, Salgaa, Nakuru
Afisa wa mauzo wa NMG, Bw Kennedy Mutinda (kushoto) akiongoza baadhi ya walimu wa Shule ya Upili ya Boror kusoma magazeti ya Taifa Leo. PICHA| CHRIS ADUNGO
Ilikuwa mbwembwe na hekaheka za kila sampuli miongoni mwa wanafunzi hawa wa Shule ya Upili ya Boror wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Boror, Salgaa, Kaunti ya Nakuru wakiwania fursa ya kujibu maswali ya chemshabongo wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Boror, Salgaa, Kaunti ya Nakuru wakisikiliza kwa makini mawasilisho mbalimbali wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Boror iliyoko Salgaa, Kaunti ya Nakuru, wakifurahia kupigwa picha wakati wa hamasisho la mradi wa Newspapers in Education (NiE). PICHA| CHRIS ADUNGO