Lucy Miru 30, ni mkazi wa mtaa wa Freearea kaunti ya Nakuru, yeye ni mwongozaji wa vipindi katika vyombo vya habari.Uraibu wake ni kusoma...
Aleccins Kinogu ni tabibu kutoka kaunti ya Nairobi. Kufikia sasa amefikisha miaka 26. Uraibu wake ni kutangamana na marafiki na kusikiliza...
Lucy Wanjiru 23, ni mkazi wa eneo la Mau Summit viungani mwa mji wa Nakuru. Yeye ni mwigizaji wa vitabu vya fasihi katika majukwaa...
Waridi Zuena mwenye miaka 21, ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Moi Bewa kuu. Uraibu wake ni kutangamana na marafiki , kuimba na...
Faith Kerubo ni mwanamitindo wa Lanet, amefikisha miaka 24. Uraibu wake ni kusakata densi na kujivinjari katika maeneo mbalimbali....
Mary Narikae Namnyak, 22. Yeye ni mfanyibiashara na mwanafasheni kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri, kupiga picha na kuogelea....
Victorine Arao 28,ni mfanyibiashara katika eneo la Maasai Market kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kusikiliza muziki na kujumuika na...
Bridgit Regina mwenye umri wa miaka 21 ni mzaliwa wa kaunti ya Nairobi, anapenda kufanya mazoezi na kuandika mashairi. Picha/Richard Maosi
Triza Mokeira 23 anafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza bidhaa zinazotokana na ndizi katika kaunti ya Kisii. Uraibu wake ni kupiga...
Wendy Barak 24, ni mkaazi wa eneo la Manyani kaunti ya Nakuru.Yeye ni mtaalam wa kurembesha akina dada.Anapenda kutazama soka na kutazama...
Soulmates Eric and Shelly are brutally murdered when the...
When tech billionaire Slater King meets cocktail waitress...
While scavenging the deep ends of a derelict space station,...