• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 7:05 PM

BI TAIFA IJUMAA, MACHI 22, 2019

MGENI wetu wa leo ni Bi Anita Cherotich, 23, mwanafunzi katika chuo cha Cambridge, Eldoret. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kuimba...

BI TAIFA, IJUMAA, MACHI 15, 2019

MGENI wetu wa leo ni Bi Lilian Awino, 22. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Egerton, Njoro, Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea,...

BI TAIFA MACHI 10, 2019

Rita Wanja 20 ni mwanafunzi wa uhasibu katika Chuo Kikuu Cha Kabarak mjini Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea na kujumuika na marafiki. Picha...

BI TAIFA, JUMAMOSI, MACHI 9, 2019

PAULINE ANN, 21, ni mwanafunzi kutoka eneo la Ol-Kalou. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kutazama filamu. Picha/ Richard Maosi

BI TAIFA IJUMAA, MACHI 8, 2019

Aliyebahatika kuwa mgeni wetu kwenye ukumbi huu ni malkia Sakeenah Raysheed kutoka kaunti ya Kirinyaga. Yeye hupenda kucheza densi,...

BI TAIFA JUMAMOSI, MACHI 2, 2019

ELIZABETH WANJIRU, 26, ni mwanafunzi wa Chuo cha Elimu cha kanisa la PCEA. Uraibu wake ni kusafiri na kutazama filamu. Picha/ John Njoroge

BI TAIFA IJUMAA, MACHI 1, 2019

Mrembo wetu leo ni ANN KIARII, 22. Yeye ni mfanyakazi wa kampuni ya Angels jijini Nairobi. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri pamoja na...

BI TAIFA FEBRUARI 28, 2019

Esther Cherop 19, ni mtaalamu wa vipodozi na mwanamitindo mjini Nakuru. Anapenda kuogelea, kusafiri na kutazama filamu Pich/ Richard Maosi

BI TAIFA FEBRUARI 27, 2019

Kisura huyu ni Villarine Chepkemoi 22. Yeye ni mwanamitindo kutoka Kericho na mfanyabiashara. Uraibu wake ni kusoma na...

BI TAIFA FEBRUARI 26, 2019

Charity Njeri 21,ni mtaalamu wa mapambo kutoka taasisi ya Dyakan Cosmetology, Nakuru. Uraibu wake ni kuchea gitaa, kusafiri, kuogelea na...

BI TAIFA FEBRUARI 25, 2019

Oliver Oteki 23, ni mfanyabiashara kutoka kaunti ya Nakuru, na apatapo nafasi, anapenda kutazama filamu na kusoma Biblia. Picha/Richard...

BI TAIFA FEBRUARI 24, 2019

Margaret Njeri 20, ni mwanafunzi wa fasheni katik taasisi ya Intergrated Certified Studies, mjini Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri na...