NA CORNELIUS MUTISYA NZAIKONI, MACHAKOS MGANGA mmoja alizua rabsha katika boma la buda mteja wake akidai malipo ya huduma. Ilifichuka...
Na JANET KAVUNGA MOMBASA MJINI KIPUSA mmoja mjini hapa aliwalilia wenzake wamsaidie akisema wanaume wamekuwa wakimtoroka punde tu...
NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI MUMAMA mmoja mjini hapa alimtimua benten aliyekuwa amemweka kinyumba, barobaro huyo alipoanza...
NA MWANGI MUIRURI MURANG'A MJINI POLO mmoja mwingi wa tamaa ya pombe alibugia mkojo nusu glasi baada ya kupangiwa njama ya adhabu...
NA MWANGI MUIRURI MURANG'A POLO dereva wa teksi aliyekula Sh40,000 za karao wa Murang'a sasa anajutia kitendo chake akiwa kwenye...
NA JANET KAVUNGA CHANGAMWE, MOMBASA JAMAA wa hapa alimtema demu wake kwa kumtaka aonje tunda siku ya kwanza ya date...
NA MWANGI MUIRURI THIKA KIZAAZAA kilizuka katika lojing’i ya mji huu polo alipotaka kurejeshewa Sh150, alizokuwa amelipa kahaba...
NA MWANGI MUIRURI MWANAMUME aliyekuwa amemeza kukumanga katika mji wa Murang'a alishangaza wateja wenzake katika lojing'I, alipoanza...
NA MWANGI MUIRURI KARATINA, NYERI KULIZUKA kizaazaa katika lojing'i moja ya mji huu afisa wa polisi alipopokonywa bunduki yake na...
NA MWANGI MUIRURI MARAGUA, MURANG'A AFISA wa polisi alitapika aliponusa vidole vya kijana wa umri wa miaka 23 kutoka Kaunti ya...
NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI KULITOKEA kioja katika duka moja mjini hapa jombi aliyetaka kuhepa bila kulipia bidhaa alipozuiwa...
NA JANET KAVUNGA UKUNDA, DIANI BUDA mmoja alikita kambi katika ploti moja mtaani hapa akimtafuta pasta amuombee baada ya kulemewa na...