Na JOHN MUTUKU KAYOLE, Nairobi POLO mmoja mtaani hapa hajiwezi hajifai kwa machozi baada ya rafiki yake wa dhati kumpokonya...
Na JOHN MUSYOKI SHANZU, Mombasa VIJANA waliofika katika boma moja sehemu hii kulipa mahari walitozwa faini na wazee wa familia ya...
Na JOHN MUSYOKI KABATI, KITUI KALAMENI mwenye tamaa ya kunyemelea wake wa wanaume wengine aliwachekesha wenzake nusra wavunjike mbavu...
Na NICHOLAS CHERUIYOT GELEGELE, SOTIK KULIKUWA kioja katika boma moja la hapa fundi mmoja alipofika na kumdai buda malipo baada ya...
Na CORNELIUS MUTISYA KAVIANI, MACHAKOS MAMA wa hapa alizomewa vikali na wenzake kwa kumpuuza mumewe alipofutwa kazi na kuanza kumezea...
Na TOBBIE WEKESA KAYOLE, NAIROBI JAMAA mmoja mtaani humu alilazimika kulala nje ya mlango wa nyumba ya mpango wake wa kando kidosho...
Na JOHN MUSYOKI KAVISUNI, KITUI MZEE mmoja wa hapa, alizua purukushani nyumbani kwake akidai binti yake alikubali kuolewa na mpenzi...
Na JOHN MUSYOKI NGOLIBA, KIAMBU MLOFA aliyekuwa akiburudika katika kilabu kimoja mtaani hapa aliwachekesha wenzake alipoamua kumvisha...
Na MWANDISHI WETU KAWANGWARE, NAIROBI HALI ya taharuki ilizuka katika kanisa moja mtaani hapa polo alipotimuliwa kwa kutumia sheng...
Na MWANDISHI WETU DAGORETTI, Nairobi FUNDI wa stima mtaani hapa aliyekuwa na tabia ya kunyemelea vipusa wateja wake, alijipata pabaya...
Na JOHN MUSYOKI KIVAA, MASINGA TAMAA ya mzee mmoja wa hapa, ilimfanya akose nyadhifa zote alizokuwa akishikilia kanisani na...
Na MWANDISHI WETU HURUMA, NAIROBI KIZAAZAA kilizuka katika ploti moja mtaani hapa, akina mama walipomkabili kidosho waliyedai alikuwa...