• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

KNCHR yataka maafisa wakandamizaji wa haki wachukuliwe hatua kali

NA STEVE OTIENO TUME ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (KNCHR) imewaonya maafisa wa polisi na vyombo vya dola dhidi ya kutumia nguvu kupita...

Mwanafunzi mlemavu afa kwa mkasa wa moto Mukuru-Kayaba

NA SAMMY KIMATU [email protected] MWANAFUNZI mlemavu wa Darasa la Saba alifariki Jumatatu kwenye mkasa wa moto eneo la Mandazi...

Wito Azimio waachane na maandamano watoto wasome

NA LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya nchi kuwa na amani ili wanafunzi wasome wakiwa kwenye mazingira mazuri, wamesema viongozi. Mbunge wa...

Alishwa kifungo cha miezi 36 jela kwa kutusi mkewe

NA TITUS OMINDE MWANAMUME Eldoret amehukumiwa kifungo cha miezi 36 gerezani baada ya kupatikana na hatia kutumia mkewe jumbe zenye...

Ajabu polo akimnyunyizia bawabu mkojo na kuacha kinyesi lojing’i baada ya kuporwa na kahaba

NA MWANGI MUIRURI Makutano, Embu KULIZUKA kizazaa katika lojing'i ya mtaa huu baada ya polo kuamka na kupata kahaba aliyekuwa...

Yaya mshukiwa wa wizi wa watoto Nakuru akamatwa Nairobi

NA MERCY KOSKEI MAAFISA wa upelelezi mjini Nakuru wanamzuilia mfanyakazi mwenye umri wa miaka 20 anayeshukiwa kuiba mtoto wa mwajiri...

Panzi wazua hofu wakiharibu mimea

NA OSCAR KAKAI Panzi wamevamia Kaunti Ndogo ya Pokot ya Kati, Kaunti ya Pokot Magharibi kutokana na kiangazi ambacho kimesababisha...

Machimbo hatari Soy yaliyoangamiza watoto wawili

NA TITUS OMINDE WAKAZI wa kijiji cha Soy, Kaunti Ndogo ya Soy wanaitaka Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA) kushurutisha...

Familia yalilia haki baada ya mwana wao kuuawa kwa risasi wakati wa maandamano ya Azimio

NA MERCY KOSKEI FAMILIA ya mwanamume aliyeuwawa katika eneo la Stima line, Kaunti ya Nakuru Jumatano Julai 19, 2023 wakati wa maandamano...

Wazee na wachungaji wabishania tohara ya vijana wa Agikuyu

NA MWANGI MUIRURI  WAZEE wa Agikuyu pamoja na viongozi wa kidini wameungana kuchora jinsi makanisa yatakomeshwa kuendesha tohara ya...

Viongozi, maafisa wa kiusalama Mlima Kenya walia ‘kurambwa’ na udikteta serikalini 

NA MWANGI MUIRURI BAADHI ya viongozi wa kisiasa na wa kiusalama Mlima Kenya wanalalamikia utawala wa kidikteta, ubaguzi na ukandamizaji...

Omingo Magara alia ‘kucharazwa’ na baridi, amsihi Rais Ruto kumkumbuka

NA WYCLIFFE NYABERI MBUNGE wa zamani wa Mugirango Kusini, Omingo Magara amesema anajutia uamuzi wake kugura chama cha UDA na kujiunga na...