• Nairobi
  • Last Updated May 9th, 2024 6:40 PM

Mbunge wa Gatanga atoa onyo sharti Del Monte igawe ekari 2, 000 za shamba kwa raia

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Gatanga Bw Edward Muriu ameonya kampuni ya Amerika ya Del Monte inayomiliki zaidi ya ekari 30, 000 za...

Mjane akimbilia mahakama kunusuru kipande cha ardhi

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu imesitisha ujenzi wa  taasisi ya elimu inayodhaminiwa na Ubalozi wa Uturuki katika ardhi ya ukubwa wa...

Wadi Nairobi isiyo na hospitali wala shule ya umma

NA WINNIE ONYANDO DIWANI (MCA) wa Lindi katika Kaunti ya Nairobi Samson Ochieng Jera amethibitisha kuwa wadi yake haina hospitali, shule...

Maiti bila kichwa na mikono yapatikana katika shamba la mpunga

NA MWANGI MUIRURI WENYEJI wa eneo la Mwea katika Kaunti ya Kirinyaga mnamo Jumanne wamepigwa na butwaa baada ya kukumbana na mwili wa...

KTDA: Bonasi ya chai kuchelewa

NA MWANGI MUIRURI WAKUZAJI wa majanchai nchini wameambiwa wasubiri hadi Oktoba 2023 kupokea bonasi kinyume na vile wamekuwa wakiipata...

Waliohamia kambini kutoroka Al-Shabaab wamzomea kamishna

NA KALUME KAZUNGU WAKIMBIZI wanaoishi kwenye kambi ya Shule ya Msingi ya Juhudi, kaunti ya Lamu wamemzomea kamishna wa eneo hilo Bw Louis...

Msako wa walioua kinyama Kaniss na Omodollar na kuweka nyama zao kwenye gunia waendelezwa 

NA MWANGI MUIRURI WAPELELEZI katika Kaunti za Nairobi na Machakos wanaendeleza msako dhidi ya walioua musoshiolaiti Rachel Kanini...

Kijana wa miaka 15 afariki baada ya kugusa waya wa umeme

NA MERCY KOSKEI MVULANA mwenye umri wa miaka kumi na tano ameaga dunia baada ya kugusa waya wa umeme katika kijiji cha Wi-Rakuom,...

Wachuuzi Londiani warejea barabarani licha ya ajali iliyoangamiza 52

NA MERCY KOSKEI HALI ya kawaida imeanza kurejelea katika makutano ya Londiani, barabara kuu ya Kericho-Kisumu siku mbili baada ya ajali...

Wanahisa Embakasi Ranching waitaka serikali iharamishe hatimiliki 25, 000 zilizotolewa na Uhuru Kenyatta 

NA MWANGI MUIRURI WANAHISA wa Kampuni ya Embakasi Ranching sasa wanataka hatimiliki 25,000 ambazo serikali ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta...

Washukiwa wa wizi wa mabavu uliosababisha kifo cha bodaboda wazuiliwa

NA TITUS OMINDE MAHAKAMA ya Eldoret imewaruhusu polisi kuwazuilia washukiwa wawili wanaohusishwa na mtandao wa magenge ya wahalifu...

Kamati yaundwa kuangazia kilio cha wafanyakazi wa Malindi Water

NA ALEX KALAMA  SERIKALI ya kaunti ya Kilifi kupitia afisi ya gavana Gideon Mung’aro, imeunda kamati itakayochunguza malalamiko ya...