• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Waboni walia kupuuzwa katika umiliki wa ardhi

NA KALUME KAZUNGU VIONGOZI wa jamii ya walio wachache ya Waboni, kaunti ya Lamu wameikashifu serikali kuu na ile ya kaunti kwa...

Ashtakiwa kuua polisi

NA BRIAN OCHARO MWANAMUME mwenye umri wa miaka 24 aliyemkanyaga afisa wa polisi wa trafiki mjini Mombasa amefunguliwa mashtaka ya kuua...

Askofu Thagana apokea tuzo ya DIAR kwa juhudi zake za kuhimiza amani, utulivu

LAWRENCE ONGARO ASKOFU mkuu wa kanisa la Glory Outreach Assembly Kahawa Sukari, Bw David Munyiri Thagana amepokea tuzo ya tano ya amani...

Kanini Kega afurushwa mkutanoni

NA CHARLES WASONGA MWAKILISHI wa Kenya katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Kanini Kega jana Alhamisi alifurushwa kutoka kwa...

Waziri Owalo awahimiza vijana watumie vyema mpango wa Jitume Digital Space

NA LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wa Chuo cha Thika Training Institute College wamehimizwa watie bidii na wanufaika na teknolojia ya...

Mfanyabiashara kizimbani kwa kumuuzia polisi ardhi hewa

NA JOSEPH NDUNDA MFANYABIASHARA aliyedaiwa kumtapeli afisa mkuu wa polisi Sh1.8 milioni kwa kumuuzia ardhi feki alishtakiwa Jumatano kwa...

Mbunge ataka Kenya iige mbinu ya Uganda kukabili ushoga

NA ALEX KALAMA MBUNGE wa Ganze Kenneth Kazungu amependekeza serikali ya kitaifa kupitisha mfumo wa kuwafungia watu wanaoshiriki mapenzi...

Rais wa Tanzania ‘aikejeli’ Kenya kwa ‘kusota’

NA WINNIE ONYANDO RAIS wa Tanzania Samia Suluhu anaonekana kukejeli Kenya kutokana na uhaba wa dola unaokumba sekta ya biashara...

Sh100m kutumika kujenga shule zilizoharibiwa na majangili

NA SAMMY LUTTA SERIKALI ya kitaifa imetenga Sh100 milioni katika bajeti yake ya ziada kwa lengo la kujenga shule ambazo zimebomolewa au...

Hatima ya Matiang’i iko mikononi mwa DPP Haji

NA HILLARY KIMUYU MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji amesema atatoa uamuzi iwapo idara hiyo itamshtaki aliyekuwa Waziri wa...

Madiwani waliumia miezi 6 ya 2022 bila marupurupu – Ripoti

Na PETER MBURU WAWAKILISHI Wadi (MCAs) walikabwa na njaa kati ya Julai na Desemba 2022, wakati mapato yao ya marupurupu ya kushiriki vikao...

Gachagua: Nilinunuliwa suruali yangu ya kwanza nikiwa Form 2

NA SAMMY WAWERU NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua amesimulia kuhusu maisha yake ya taabu shuleni na changamoto alizopitia.   Akikiri...