• Nairobi
  • Last Updated May 16th, 2024 8:50 PM

Pwani: Kuna haja wazazi, serikali kulinda watoto dhidi ya uhalifu mtandaoni

NA ALEX KALAMA  WATOTO wengi eneo la Pwani wameathirika zaidi na utumizi mbaya wa mtandao huku kaunti za Mombasa, Kilifi na Lamu zikiwa...

Waliojenga madarasa ya CBC wasaka malipo miezi saba baadaye…

NA DAVID MUCHUI WANAKANDARASI waliojenga madarasa 10,000 ya kufanikisha Mtaala Mpya wa Masomo (CBC) sasa wanakabiliwa na tishio la mali...

Ardhi jirani na ya Ruto yanyakuliwa Taita

NA WAANDISHI WETU MZOZO umeibuka katika eneo la Jipe, Kaunti ya Taita Taveta baada ya mwekezaji wa kibinafsi kudaiwa kunyakua takriban...

Ndege ya jeshi kusafirisha mwili wake Magoha

NA COLLINS OMULO MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Elimu, Prof George Magoha utasafirishwa kwa helikopta ya jeshi hadi kwao Yala, Siaya kwa...

Imani za uchawi kizingiti katika kukabili saratani

NA MAUREEN ONGALA IDARA ya afya katika Kaunti ya Kilifi imeeleza hofu kuwa idadi kubwa ya wagonjwa wa kansa huenda hufa kwa sababu ya...

Papa sasa atua Sudan Kusini kutafuta amani

NA MASHIRIKA KINSHASA, DRC CONGO PAPA Francis jana Ijumaa alikamilisha ziara yake ya kipekee katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

Petanns yafungua chuo cha kiufundi kuwasaidia vijana kupata ujuzi

NA LAWRENCE ONGARO SHULE ya mafunzo ya udereva ya Petanns imebuni chuo cha kiufundi ili kuwasaidia vijana kupata ujuzi...

Bungoma imegeuka mbingu yenye mungu, manabii na Yesu

LEONARD ONYANGO Na JESSE CHENGE ELIJAH MASINDE NABII wa kwanza kutokea Bungoma alikuwa Elijah Masinde wa Nameme anayeaminika kuzaliwa...

Familia zaidi ya 1,000 zilizoathirika na moto kusubiri zaidi kabla ya kurudi nyumbani

NA SAMMY KIMATU FAMILIA zaidi ya 1,000 zilizoathirika katika mkasa wa moto katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Maasai, kaunti ndogo ya...

MCAs wapandisha joto la kudai nyongeza ya malipo

NA DERICK LUVEGA MADIWANI wameongeza shinikizo za kutaka kuongezwa mishahara yao kutoka Sh144, 376 hadi Sh400,000 kwa mwezi. Juhudi...

Serikali kusaka wanaorai wasichana wa shule kushiriki biashara ya ngono

NA MWANGI MUIRURI SERIKALI imeahidi kuanzisha msako mkali dhidi ya mashirika ya mabwenyenye, kijamii na kiuchumi yanayowalaghai wasichana...

Wahadhiri wapongezwa huku wakiahidi kuendelea kuweka MKU kwenye ramani

NA LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) kiliandaa hafla ya siku tatu jijini Nakuru ambapo wadau muhimu walitathmini jinsi...