• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 1:20 PM

Uhalalishaji wa GMO wazua mjadala mkali

NA STANLEY KAMUGE UAMUZI wa baraza la mawaziri kuruhusu uzalishaji na uagizwaji nchini wa vyakula vilivyokuzwa kisayansi (GMOs) umezua...

Wakulima wa pamba iliyoimarishwa walia kukawia kwa mbegu

NA SAMMY WAWERU WAKULIMA wa pamba nchini wamelalamikia kucheleweshwa kuwasili kwa mbegu ili kuanza shughuli ya upanzi. Msimu wa...

Mulembe imani tele Mudavadi atawakwamua

NA DERICK LUVEGA KINARA wa ANC Musalia Mudavadi anasubiriwa na kazi chungunzima katika eneo la nyumbani kwake magharibi mwa Kenya...

Kaunti kuboresha barabara zinazoelekea kwa mbuga za wanyama kuinua utalii

NA WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Taita Taveta imepanga kukarabati barabara zinazoelekea kwa mbuga za wanyamapori ili kuimarisha...

Ruto aunda jopokazi la wasomi kuchunguza CBC

NA FAITH NYAMAI RAIS William Ruto jana Ijumaa aliteua jopo la wasomi zaidi ya 40 kuangazia upya utekelezaji wa Mtaala wa Umilisi na...

Gavana Nassir kuimarisha idara kukabili majanga

NA WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa, imetangaza kuwa itaweka mikakati ya kuimarisha dharura ya majanga siku moja baada ya...

Mshukiwa wa wizi wa vyuma vilivyoibwa kutoka Industrial Area akamatwa Kayole

NA SAMMY KIMATU MAAFISA wa polisi kutoka Makadara wamemkamata mshukiwa mmoja na kupata bidhaa kadhaa ambazo ripoti za polisi zilionyesha...

MCAs kutumia Sh10 milioni katika warsha Mombasa

NA BENSON AMADALA MADIWANI wa kaunti ya Kakamega watatumia zaidi ya Sh10 milioni katika warsha yao inayoendelea mjini Mombasa. Ijapokuwa...

Raia wa Uganda anayeshukiwa kumuua mke-mwenza ndani

NA JOSEPH NDUNDA WAPELELEZI kutoka Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) wanamzuilia mwanamke raia wa Uganda anayedaiwa kumdunga kisu mara...

Watu 3 wafariki katika eneo la Kirigiti baada ya jengo la orofa kuangukia makazi yao

NA SAMMY WAWERU WATU watatu wameaga dunia mapema Jumatatu baada ya jengo la orofa lililokuwa likiendelea kujengwa kuporomoka na...

Osoro atetea matamshi ya Naibu Rais kuhusu mfumo wa mashamba

NA SAMMY WAWERU MBUNGE wa Mugirango Kusini Silvanus Osoro ametetea matamshi ya Naibu wa Rais, Rigathi Gachagua kuhusu mfumo wa...

Wazazi kubeba mzigo shule zikifunguliwa kuanzia kesho Jumatatu

NA FAITH NYAMAI SHULE zitakuwa zikifunguliwa hapo kesho Jumatatu kwa muhula wa tatu ambao ni wa mwisho kabla ya kalenda ya masomo...