• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Daraja la juu ya Thika Superhighway kujengwa Juja

NA LAWRENCE ONGARO DARAJA la kivukio juu ya barabara kuu ya Thika Superhighway eneo la Highpoint, Gachororo, litajengwa ili kuzuia ajali...

Rais Kenyatta akataa kutia saini mswada wa kuumiza waliopata mkopo wa HELB

NA CHARLES WASONGA WAHITIMU kutoka vyuo vikuu ambao walifaidi kwa mkopo kutoka Bodi ya Kutoa Mkopo kwa Elimu ya Juu (HELB) wamepata...

Mwaniaji urais apoteza kesi na kuomba chupa ya maji

NA RICHARD MUNGUTI MWANIAJI kiti cha urais ambaye kesi ya kupuinga kuidhinishwa kushiriki katika uchaguzi wa Agosti 9,2022 aliomba apewe...

Bodaboda anayedaiwa kuua rafikiye anyakwa na kuzuiliwa

NA GEORGE MUNENE POLISI katika Kaunti ya Kirinyaga wamemkamata mhudumu wa bodaboda anayedaiwa kumuua rafiki yake na kuutupa mwili wake...

Ruto afukuza waandishi habari kwenye mkutano wake alioandaa Nakuru

NA ERIC MATARA NAIBU Rais William Ruto jana aliwazuia wanahabari kuangazia mkutano wa kisiasa wa mrengo wa Kenya Kwanza alioongoza...

Shirika la Heifer lahimiza vijana wawe mstari wa mbele kuimarisha kilimo na ufugaji

NA SAMMY WAWERU SHIRIKA moja lisilo la kiserikali (NGO), limezindua mipango kuhamasisha vijana kujua na kufanya shughuli za kilimo na...

Uhuru aongoza mkutano wa marais wa EAC kujadili mzozo wa DRC na Rwanda

NA CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu, Juni 20, 2022, aliongoza mkutano wa marais sita wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya...

Babu Owino akana madai kwamba alichochea fujo Jacaranda

NA CHARLES WASONGA MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino amejitenga na madai kuwa alichochea vurugu zilizoshuhudiwa katika uwanja wa...

Chama chakana Wajackoyah ataburudisha Nyeri

NA MERCY MWENDE CHAMA cha Roots kimepuuzilia mbali ripoti kwamba mgombea wake wa urais George Wajackoyah anatarajiwa kuzuru mji wa Nyeri...

Washukiwa wa kashfa ya Anglo-Leasing Obure, Kyungu waachiliwa huru

NA RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Chris Obure, na makatibu wawili wa zamani Sammy Kyungu na Samwel Chamobo Bundotich...

Jaji akosoa uzuiliaji washukiwa seli muda mrefu

NA BRIAN OCHARO JAJI wa Mahakama ya Mombasa amekosoa kuzuiliwa kwa muda mrefu washukiwa akisema ni udhalimu wa haki. Jaji John Mativo...

Korti yabatilisha uamuzi kuhusu bondi ya Sh300,000

NA JOSEPH WANGUI MAHAKAMA Kuu imebatilisha uamuzi wa mahakama ya chini ulioamuru kufutiliwa mbali kwa dhamana ya Sh300,000 pesa taslimu...