• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 4:55 PM

Korti yaokoa mzazi kumpeleka mtoto katika shule ghali

NA BRIAN OCHARO MAHAKAMA ya masuala ya familia Mombasa imeamua kuwa wazazi hawastahili kulazimishwa kulipia mambo wasiyoweza kugharimia,...

CECIL ODONGO: Kalonzo akatae mashauriano ya kusaka mwaniaji mwenza

NA CECIL ODONGO KINARA wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka anafaa akatae kushiriki mahojiano ya kusaka mwaniaji mwenza wa Bw Raila Odinga ndani...

Wito uchaguzi uwe wa amani Idd-ul-Fitr ikiadhimishwa nchini

NA WAANDISHI WETU WAISLAMU kote nchini jana waliadhimisha mwisho wa Ramadhan huku miito ikitolewa kwa Wakenya kudumisha utulivu na amani...

Anne Muratha apewa darasa baada ya kurushia watu keki

NA WANGU KANURI WAKENYA mitandaoni wamelalamika baada ya mwanasiasa Anne Muratha, kunaswa kwenye video akiwarushia watu keki. Anne...

Wakongwe 200 wapokea matibabu na chakula eneo la Mavoloni

Na LAWRENCE ONGARO WAGONJWA wakongwe wapatao 200 katika eneo la Mavoloni, Ndalani, kaunti ya Machakos mnamo Jumatatu walipokea matibabu...

Mbunge ashinikiza Naibu Rais ajiuzulu

NA IRENE MUGO MBUNGE wa Kieni, Kanini Kega amemkosoa Naibu Rais William Ruto kwa kile amesema ni kukosoa serikali akiwa ndani...

Polisi wakubaliwa kuvunja makazi ya Mchina

NA RICHARD MUNGUTI HAKIMU mwandamizi Philip Mutua amewaruhusu Polisi wavunje na waingie katika nyumba ya raia wa Uchina anayedaiwa...

Umaskini chanzo cha mimba za mapema – Shirika

NA KASSIM ADINASI UMASKINI na ukosefu wa mahitaji ya kimsingi vinachangia ongezeko la mimba za wasichana walio na umri mdogo na...

Wakazi wa Syokimau wakerwa na kelele za vilabu

NA COLLINS OMULO WAKAZI wa Syokimau katika kaunti ya Machakos wamelalamikia ongezeko la kelele kutoka kwa vilabu 36 vya burudani...

Mashauriano yafanywa kuinua uchumi baharini

NA KNA SERIKALI inaendeleza mashauriano na Norway ili kupata ujuzi wa kutumia kikamilifu rasilimali za baharini kwa minajili ya kuinua...

Wageni wawili wakaa kizuizini uchunguzi ukiendelea

NA RICHARD MUNGUTI WAGENI wawili ambao uraia wao bado kutambulikana wanazuiliwa na polisi kwa siku 10. Washukiwa hao Mcben Otaigbe na...

Mchuuzi kutoka Sudan Kusini ashtakiwa wizi wa simu ya Sh80,000

NA RICHARD MUNGUTI MCHUUZI kutoka Sudan Kusini aliyemezea mate simu ya rununu ya mwanasoka mwenzake ameshtakiwa. Sunday Johnson Kong...