• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 8:50 AM

Ashtakiwa kwa kumtwanga aliyekuwa mke wake siku za nyuma

NA RICHARD MUNGUTI MUME aliyemchapa mke waliyetengana ameshtakiwa mahakamani. Jaylan Mwaniki alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi...

Askofu Muheria ahimiza wanasiasa waige mfano wa Kibaki

NA SAMMY WAWERU ASKOFU wa Kanisa la Katoliki jimbo la Nyeri, Anthony Muheria amewataka wanasiasa waige mfano wa Rais mstaafu Mwai Kibaki...

Hospitali ya Kenyatta yapewa jina la Kibaki mjini Nyeri

NA IRENE MUGO JENGO la Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta eneo la Othaya, Ijumaa lilibadilishwa jina na kuitwa Hospitali ya Mwai Kibaki,...

Wakenya kubaki bila kazi hoteli ya Hilton ikifungwa

NA JURGEN NAMBEKA IDADI kubwa ya Wakenya wanaohudumu katika hoteli ya kifahari ya Hilton katikati mwa jiji la Nairobi watapoteza kazi...

Wakazi wa Lamu wataka ahadi za Kibaki kwao zitimizwe

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa Lamu wameitaka serikali kutimiza ahadi zilizotolewa kwao wakati wa ujenzi wa miradi iliyoanzishwa na utawala...

Ujenzi wa kituo cha kisasa kutoa mafunzo na huduma za kilimo Kabete kuanza

NA SAMMY WAWERU UJENZI wa kituo cha kisasa kitakachokuwa kikitoa mafunzo ya kilimo katika Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN), bewa la Kabete...

Siku Kibaki alikosa sahani katika hafla ya Moi

Na FRANCIS MUREITHI HAYATI Mzee Mwai Kibaki alilazimika kula chakula kwenye sufuria baada ya kukosa sahani alipochelewa kufika katika...

Barobaro aeleza jinsi alivyofaidika na elimu bila malipo

NA WANDERI KAMAU BAROBARO Kioko Mwinzi ni miongoni mwa maelfu ya vijana ambao walinufaika pakubwa kutokana na Mpango wa Elimu Bila...

Kibaki alipofika kortini kujitetea

JOSEPH WANGUI Na MERCY MWENDE IJAPOKUWA watu wengi walimwona Rais Mstaafu Mwai Kibaki kama tajiri mkubwa, aliwashangaza wengi alipofika...

Kibarua kipya kwa wazazi wanafunzi wakirejea shuleni

NA WANDERI KAMAU HUKU wanafunzi waliofanya mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) wakiendelea kusherehekea matokeo yao, wazazi wanakabiliwa na...

441 kukosa matokeo ya KCSE sababu ya udanganyifu

NA MARY WANGARI JUMLA ya wanafunzi 441 waliofanya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) 2021 ikiwemo watahiniwa wote katika kituo...

Waislamu Mlima Kenya watoa wito Wakenya wadumishe upendo na amani

NA LAWRENCE ONGARO JAMII ya Waislamu kutoka Mlima Kenya imewahimiza Wakenya wadumishe amani hasa wakati huu taifa linapoelekea katika...