• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Mbunge Richard Onyonka ajisalimisha kwa DCI mjini Kisii

NA WYCLIFFE NYABERI MBUNGE wa Kitutu Chache Kusini Richard Onyonka, Jumanne asubuhi alijisalimisha kwa maafisa wa upelelezi mjini Kisiii...

Kenya Power yatoa hakikisho tatizo la umeme kukatika linashughulikiwa

Na WANGU KANURI KAMPUNI ya Kenya Power imewahakikishia Wakenya kuwa wahandisi wanashughulika kuhakikisha kuwa stima zimerejea haraka...

Gavana Nyoro atangaza mpango wa kuboresha viwanda Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO SERIKALI ya Kaunti ya Kiambu imefanya ushirikiano na mashirika ya bara la Ulaya ili kuzindua viwanda kadha vya...

Mwili wa aliyetekwa nyara Naivasha wapatikana Thika familia ikitaka uchunguzi wa kina

Na LAWRENCE ONGARO SERIKALI inastahili kuingilia kati ili kujua kiini cha mauaji ya kiholela yanayozidi kushuhudiwa nchini, amesema...

Mwanamke aponea kifo risasi ya polisi ilipomkosa

Na SAMMY KIMATU MWANAMKE mmoja aliponea kifo kwa tundu la sindano baada ya jaribio la kupigwa risasi na ofisa aliyedaiwa kuwa ni polisi...

Mbinu mpya zinazotumiwa kudumisha usalama mitaani

Na SAMMY KIMATU MIKAKATI mizuri iliyowekwa na kubuni mbinu mpya kudhibiti usalama katika eneo la polisi la Makadara msimu wa sherehe...

‘Jungle’ Wainaina aeleza jinsi Njonjo alivyokuwa mwanasheria wa kipekee

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kaunti ya Kiambu, wameachwa na huzuni tele baada ya kupokea habari za kutokea kwa kifo cha mwanasheria...

Wahasiriwa wa mkasa wa moto Mukuru-Kayaba wapokea msaada

Na SAMMY KIMATU FAMILIA zaidi ya 300 zilizopoteza makao yao baada ya moto kuteketeza nyumba zao katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kayaba,...

TUSIJE TUKASAHAU

KUNA hofu kwamba bei ya unga wa mahindi itapanda zaidi kufuatia hatua ya Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) kuongeza bei ya kununua...

Jinsi wakazi wa Nairobi walivyokaribisha mwaka mpya

Na SAMMY WAWERU MWAKA mpya wa 2022 ulikaribishwa kwa staili, baadhi wakikongamana katika maeneo ya kuabudu, burudani, baa na...

Umeme nafuu utaimarisha sekta ya viwanda na kupanua nafasi za ajira – Mbunge

Na LAWRENCE ONGARO WAMILIKI wengi wa viwanda wanangoja kushuka kwa bei ya umeme ili waweze kuongeza faida kwa bidhaa zao. Hivi majuzi...

Mihadarati: Magoha aunga wanafunzi wapimwe

Na WAANDISHI WETU WAZIRI wa Elimu Profesa George Magoha amepongeza hatua ya Shule ya Upili ya Maranda Boys ya kuwafanyia wanafunzi wake...