• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 1:01 PM

Diwani wa Landimawe aafikiana na Nairobi Water kusambaza maji Mukuru-Kayaba

Na SAMMY KIMATU DIWANI wa Landimawe katika kaunti ndogo ya Starehe, Bw Herman Azangu amewahakikishia wakazi wa mtaa wa mabanda wa Kayaba...

Matiang’i aweka mikakati kuzima visa vya wafungwa kutoroka jela

Na CHARLES WASONGA ASKARI jela saba wa gereza la Kamiti wamakamatwa kufuatia kisa ambapo wafungwa watatu walitoroka kutoka gereza hilo...

Dereva chipukizi Yuvraj alenga changamoto mpya kwenye Autocross kwa kupanda daraja

Na GEOFFREY ANENE YUVRAJ Rajput yuko tayari kwa changamoto mpya baada ya kubeba taji la kitaifa la kitengo cha Bambino kwenye Mbio za...

Wezi wa mali ya umma tutawatia adabu – Moi

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Kanu, Bw Gideon Moi amesema endapo muungano wa One Kenya Alliance (OKA) utatwaa serikali 2022 mojawapo ya...

KMC yabadili sheria ya kununua mifugo katika kaunti kame

Na STANLEY NGOTHO USIMAMIZI wa Kiwanda cha Nyama nchini (KMC) umebadilisha sheria ambayo imekuwa ikitumiwa kuwanunua ng’ombe kutoka...

Atiwa mbaroni korti ikidumisha Ringera

Na WAANDISHI WETU RAIS WA Shirikisho la Kandanda Nchini (FKF) alikamatwa jana muda mfupi baada ya Mahakama kuu kukataa kusitisha...

Nani anameza wanaume Pwani?

Na WAANDISHI WETU WAKAZI wa Pwani wanaishi kwa hofu na wasiwasi mkubwa kufuatia ongezeko la visa vya wanaume kutoweka kiholela. Visa...

Wachungaji wapendekeza adhabu ya kiboko irejeshwe shuleni

Na LAWRENCE ONGARO WACHUNGAJI wa kidini wa Evangelical and Indigenous Christian Churches of Kenya (FEICCK) kutoka Kiambu na Nairobi,...

Huzuni tele ajuza waliouawa kwa madai ya uchawi wakizikwa

Na WYCLIFFE NYABERI WINGU la simanzi lilikigubika kijiji cha Nyagonyi, eneo la Marani, Kaunti ya Kisii wakati wa mazishi ya ajuza watatu...

Mahakama yaokoa spika katika meno ya madiwani

Na PHILIP MUYANGA BUNGE la Kaunti ya Tana River limezimwa kutekeleza azimio lililopitishwa la kumuondoa ofisini Spika Michael...

Serikali imeshindwa kukabili ukame – Ripoti

Na SILAS APOLLO SERIKALI imefeli kudhibiti majanga kama vile ukame licha ya kuelekeza mabilioni ya fedha katika mipango ya kupambana na...

Kinara wa KNUT amrukia Sossion kuhusu zogo

Na FAITH NYAMAI KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (Knut), Collins Oyuu amelaumu mtangulizi wake Wilson Sossion kwa kuchochea...