• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 2:58 PM

Polisi watahadharishwa kuwaomba raia ‘mafuta’

Na LEONARD ONYANGO INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai ameonya maafisa wa polisi wenye mazoea ya kushinikiza watu kununua...

Mahakama yaagiza Rotich ashtakiwe upya

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Waziri wa Hazina Kuu ya Kitaifa Henry Rotich alipata pigo kubwa Jumatatu mahakama ya kesi za ufisadi...

MKU na Unesco kushirikiana kufanikisha mradi wa afya wa o3 Plus

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya kinashirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco)...

Jamaa wa Gumo aliyetekwa nyara aachiliwa

Na MARY WAMBUI JAMAA wa waziri msaidizi wa zamani, Fred Gumo, aliyekuwa ametekwa nyara saa chache baada ya kumchukua mwanawe kutoka...

Mhariri wa zamani wa habari katika NMG afariki

Na KITAVI MUTUA TASNIA ya uanahabari nchini imepata pigo baada ya kifo cha Bw Gideon Mulaki, aliyehudumu kama Mhariri wa Habari katika...

Ufisadi, ulafi vinasababisha majumba kuporomoka

Na MARY WAMBUI UFISADI miongoni mwa maafisa wa idara zinazosimamia ujenzi barabarani na wafanyabiashara walafi wanachangia katika...

LEONARD ONYANGO: Ruto, Raila watumie mitandao ya kijamii kusema na vijana

Na LEONARD ONYANGO BAADA ya kuwania urais mara tano bila mafanikio, kiongozi mpya wa Zambia Rais Hakainde Hichilema aliamua kubadili...

Familia ya Masten Wanjala yamkana, mwili wasalia mochari

Na BRIAN OJAMAA MWILI wa Masten Wanjala, mwanamume aliyekamatwa kwa mauaji ya watoto, bado uko katika mochari ya Hospitali ya Rufaa ya...

Zaidi ya vyuo 500 vya udereva hatarini kufungwa

Na BRIAN WASUNA MAMIA ya vyuo vya kutoa mafunzo ya udereva ziko katika hatari ya kufungwa kufuatia hatua ya Mamlaka ya Usalama...

Serikali yashirikiana na FAO kuibuka na mpango maalum kukabili wadudu waharibifu wa mimea

Na SAMMY WAWERU SERIKALI kwa ushirikiano na Shirika la Chakula na Kilimo (FAO-UN) imeibuka na mpango wa kudumu kukabili wadudu waharibifu...

TSC kupandisha zaidi ya walimu 2,400 vyeo

Na FAITH NYAMAI TUME ya Huduma za Walimu Nchini (TSC), inapanga kuandaa mahojiano wiki hii ili kuwapandisha vyeo walimu 2,419 katika...

Mwanasheria mkuu kukata rufaa kuhusu uteuzi wa majaji

Na JOSEPH WANGUI MWANASHERIA Mkuu Paul Kihara Kariuki amewasilisha notisi ya kukata rufaa kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu, ambapo Rais...