• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 7:55 PM

Babu wa miaka 75 kusalia rumande

Na RICHARD MUNGUTI MZEE mwenye umri wa miaka 75 aliyekuwa ametoroka mahakama katika kesi ya wizi wa Sh2.4milioni atakaa rumande hadi...

Shinikizo DPP Noordin Haji ang’atuke yapelekewa PSC

Na RICHARD MUNGUTI HOJA ya kumtimua kazini mkurugenzi wa mashtaka ya umma (DPP) Noordin Haji iliwasilishwa na mawakili zaidi ya 10 kwa...

Kijana anayelenga kutinga upeo wa kimataifa miaka ijayo

Na JOHN KIMWERE  NI kati ya wasanii wengi tu wa kiume wanaojituma mithili ya mchwa katika tasnia ya uigizaji wakipania kuibuka...

Msanii alisha asema usaliti, vurugu zilimtoa machozi

Na JOHN KIMWERE  NI ndoto ya kila msanii kuona anaimarika katika kazi zake na kutambulika kote duniani. Alice Karwitha Kithinji...

Radol alenga kutinga anga za kimataifa katika uigizaji

Na JOHN KIMWERE  ANAELEKEA kutinga miaka mitatu tangia aanze kujituma kwenye masuala ya maigizo ambapo amepania kufikia hadhi ya filamu...

LEONARD ONYANGO: Siku ya Utamaduni ilifaa kuadhimishwa kipekee

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya serikali kutangaza Oktoba 10 kuwa Siku ya Utamaduni bila kuandaa maadhimisho ya kitaifa, ni kazi...

Kaunti za Pwani kusaka ?watalii kama eneo moja

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa itashirikiana na kaunti zingine za Pwani kuinua sekta ya utalii ambayo imepata pigo kubwa...

Wizara yatoa onyo dhidi ya matumizi ya dawa ya kuua chawa

Na JACKLINE MACHARIA WIZARA ya Afya imewaonya wahudumu wa afya wasitumie dawa aina ya Ivermeclin, ambayo inatumika kuwaua chawa, kutoa...

Muhsin aombolezwa kama shujaa wa uanahabari, kukuza Kiswahili

Na MARY WANGARI MWANAHABARI wa miaka mingi, Badi Muhsin, aliyefariki Ijumaa akiwa Mombasa na kuzikwa Jumamosi jijini Nairobi, ametajwa...

Munya atetea KTDA kuhusu bonasi ya chini ya majani chai

Na IRENE MUGO WAZIRI Kilimo Peter Munya ametetea Mamlaka ya Kilimo cha Majanichai (KTDA) kuhusu malipo ya chini ya bonasi kwa wakulima...

Daraja jipya latarajiwa kuinua uchumi wa Kilifi

Na MAUREEN ONGALA WAKAZI wa maeneo ya Baricho na Lango Baya katika Kaunti ya Kilifi wameelezea matumaini kwamba mradi unaoendelea wa...

Kenya yapokonya wavuvi wa China leseni kwa kutesa Wakenya

Na ANTHONY KITIMO KENYA imefutilia mbali leseni za meli sita za uvuvi za China kwa madai kwamba zilikuwa zikidhulumu mabaharia wa Kenya...