• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 5:50 PM

Kafyu itaondolewa karibuni, asema Balala

Na MWANDISHI WETU WAZIRI wa Utalii, Bw Najib Balala amedokeza kuwa kafyu ambayo imedumu nchini tangu mwaka 2020 itaondolewa baada ya...

Watumishi wa Kaunti kugoma ‘wasipothaminiwa’

Na COLLINS OMULO WAFANYIKAZI zaidi ya 11,000 wa Kaunti ya Nairobi wametishia kugoma ikiwa Idara ya Huduma za Jiji (NMS) na viongozi wa...

Joho aagizwa kuweka wazi kandarasi ya mradi Buxton

Na PHILIP MUYANGA GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, pamoja na maafisa wakuu wa kaunti hiyo wameagizwa na mahakama wafichue kandarasi na...

Unyakuzi watishia faida za misitu ya Kaya

Na SIAGO CECE UNYAKUZI wa misitu ya Kaya Pwani umetishia kuvuruga mpango wa serikali kuitumia kama vituo vya utalii. Wazee wa Kaya...

Aliyeshtakiwa kwa kumjeruhi mmiliki wa mkahawa jijini kwa kumpiga risasi, afungwa jela miaka 23

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA aliyemmiminia risasi mmiliki wa mkahawa wa Ronalo, almaarufu K’Osewe, William Osewe, wakizozania...

Mwanamume aliyenyimwa kitambulisho kulipwa fidia

Na BRIAN OCHARO SERIKALI imeagizwa kumlipa mwanamume mwenye umri wa miaka 54, fidia ya Sh500,000 kwa kukosa kumbadilishia kitambulisho...

Kenya kuadhimisha Siku ya Utamaduni

Na WINNIE ONYANDO SERIKALI imetangaza Jumatatu kuwa siku ya mapumziko, Kenya ikiadhimisha kwa mara ya kwanza Siku ya Utamaduni Oktoba...

Jamii ya Sengwer yalia viongozi kusahau eneo lao kimaendeleo

Na GERALD BWISA JAMII ya Sengwer katika eneo la Makutano, eneobunge la Cherang'any, Kaunti ya Trans Nzoia, imeshutumu viongozi...

Mlipuko wa ugonjwa wa kuhara wazua hofu vijijini Boni

Na KALUME KAZUNGU MLIPUKO wa maradhi ya kuendesha na kutapika umeibuka miongoni mwa watoto kwenye vijiji vya msitu wa Boni, Kaunti ya...

Wakazi walia daraja bovu na ahadi hewa

Na SIAGO CECE WAKAZI wa eneo la Kikoneni, Kaunti ya Kwale, wanaishi kwa hofu ya kujeruhiwa au hata kuangamia kila wanapovuka daraja bovu...

Wavukaji feri kuendelea kulipia kupitia kwa Mpesa

Na PHILIP MUYANGA WATUMIAJI wa kivuko cha feri cha Likoni, Kaunti ya Mombasa, wataendelea kulipia ada za kuvuka kupitia kwa Mpesa hadi...

Utekaji nyara uliozidi Mlimani wazua hofu

Na NICHOLAS KOMU HOFU imetanda katika Kaunti za Nyeri, Meru, Laikipia na Nyandarua kufuatia ongezeko la visa vya watu kutekwa nyara...