• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 7:47 PM

Njaa: UN yaahidi Sh13b kusaidia waathiriwa

GEORGE MUNENE na BARNABAS BII UMOJA wa Mataifa (UN) umeahidi kutoa Sh13 bilioni kusaidia watu milioni 2 wanaokabiliwa na janga la njaa...

Kaparo atawazwa msemaji wa jamii yake Laikipia

Na JAMES MURIMI WAZEE wa Kaunti ya Laikipia, Jumapili walimtawaza aliyekuwa Spika wa Bunge la Kitaifa Francis Ole Kaparo kuwa Msemaji wa...

Corona: Serikali yahimizwa kufungua uchumi

Na ANGELA OKETCH Tafsiri: CHARLES WASONGA MWANACHAMA mmoja wa kamati maalum inayoishauri serikali kuhusu janga la Covid-19 ameitaka...

Ni muhimu watu wapate chanjo ya corona – Dkt Kantaria ashauri

Na SAMMY WAWERU MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya pembejeo ya Elgon Kenya, Dkt Bimal Kantaria amehimiza wananchi kujitokeza kupata chanjo ya...

Kiangazi: Serikali yaahidi kununua mifugo

Na GEOFFREY ONDIEKI SERIKALI inalenga kuzindua mpango wa kuokoa mifugo katika maeneo yanayoathiriwa na ukame kama njia ya kupunguza...

Itumbi alia korti kumzuia kuhusisha mlalamishi na UDA

Na JOSEPH WANGUI Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Dijitali katika Ikulu, Dennis Itumbi, anataka mahakama iondoe agizo la kumzuia...

Kaunti lawamani kuhusu ubomoaji

WINNIE ATIENO na FARHIYA HUSSEIN SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imelaumiwa kwa ubomoaji majengo ambao ulitokea katika sehemu tofauti za...

Shahidi apiga wakili ngumi kortini kwa kumuuliza swali

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa zamani wa polisi aliyekuwa akitoa ushahidi alifungwa jela siku moja kwa kumpiga na kumuumiza wakili...

Ngilu aweka ushirika na NHIF kuwezesha familia 200,000 za mapato ya chini kugharimia matibabu

Na Kitavi Mutua SERIKALI ya Kaunti ya Kitui imeanza kusajili zaidi ya familia 200,000 kwenye Mpango wa Afya kwa Wote (UHC) kama njia ya...

Wenye jinsia mbili walia kubaguliwa wakisaka huduma

Na Wycliffe Nyaberi WATU wenye jinsia mbili nchini wanataka mageuzi yatakayohakikisha uhuru wao na haki zao za kimsingi...

Serikali yaanza kujenga barabara ya lami kuinua hadhi ya mji wa Othaya

Na WANGU KANURI [email protected] Serikali kupitia Mamlaka ya Ujenzi wa Barabara za Mijini (KURA) imeanza kujenga barabara...

Wito mashirika yashirikiane kueneza bayoteknolojia nchini

Na WANGU KANURI [email protected] Kongamano la Mawasiliano ya Bayosayansi Afrika (ABBC2021) limerai washikadau kutoka...