• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 10:48 AM

TSC yachunguza mwalimu kwa dai la uporaji wa pesa

Na KNA TUME ya Kuajiri Walimu (TSC) imeanza kumchunguza mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi ya Mwania katika kaunti ndogo ya Kathozweni,...

Mawakili wa kesi ya Lenolkulal taabani

Na RICHARD MUNGUTI VIONGOZI wa mashtaka katika kesi ya ufisadi ya Sh84 milioni inayomkabili Gavana wa Samburu, Bw Moses Lenolkulal,...

Majangili wavamia kituo na kuiba bunduki

Na JAMES MURIMI MAJANGILI waliokuwa na silaha kali, Jumatatu walivamia kituo cha polisi katika Kaunti-ndogo ya Laikipia Kaskazini ambapo...

Polisi wanne wanaoshtakiwa kwa mauaji wapatwa na Corona wakiwa jela

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMAU kuu ilifahamishwa Alhamisi maafisa wanne wa polisi kati ya sita wanaoshtakiwa kuwaua ndugu wawili kaunti ya...

Itumbi yuko na kesi ya kujibu katika dai kulikuwa na njama kumuua naibu wa Rais William Ruto

By RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA mkurugenzi wa masuala ya dijitali katika Ikulu ya Nairobi Bw Dennis Itumbi atawekwa kizimbani kujitetea...

Kashfa ya sukari yatibuka wakurugenzi wanne washtakiwa kwa ulaghai wa Sh79Milioni

Na RICHARD MUNGUTI WAKURUGENZI wa makampuni yanayouza bidhaa za vyakula wameeleza korti jinsi stakabadhi za makampuni yao zilivyotumika...

Bei ya mafuta: Kioni asisitiza wabunge ndio wa kulaumiwa

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Ndaragwa Jeremiah Kioni amesema wabunge ndio wenye suluhu ya ongezeko la mara kwa mara la bei ya mafuta ya...

Vyombo vya habari vyatakiwa kuangazia habari za kilimo cha bayoteknolojia

NA WANGU KANURI VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuwekeza zaidi katika uandishi wa habari na makala kuhusu bayoteknolojia ili kutimiza...

Magoha aapa kutetea CBC kwa hali na mali

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha ameendelea kuutetea mfumo mpya wa Elimu unaoegemea kwa umilisi (CBC), na kwamba...

Serikali yatangaza vita na watengenezaji pombe haramu Mlima Kenya

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kukabiliana na unywaji wa pombe na dawa za kulevya ili kuokoa kizazi kijacho, amesema katibu katika...

Wabunge lawamani kwa hali mbovu ya uchumi

Na CHARLES WASONGA WATAALAMU wa uchumi wamesema wabunge wamekuwa sehemu ya matatizo ya kiuchumi yanayokumba Kenya kwa sasa. Kulingana...

Wakenya ‘wasukuma’ juu bei ya mafuta TZ

Na IAN BYRON MADEREVA kutoka Kenya ambao wamekuwa wakikimbia nchini Tanzania kununua mafuta, walishtuka baada ya vituo vya kuuza petroli...