• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 5:50 PM

Jambojet yazindua safari za Lamu

NA KALUME KAZUNGU KAMPUNI ya ndege ya Jambojet kwa mara nyingine imezindua safari zake kwenye anga ya Lamu baada ya kuzikatiza kwa...

Matatu zaendelea na huduma licha ya uvumi wa mgomo

Na CHARLES WASONGA LICHA ya uvumi kuenea Jumatano kwamba chama cha wamiliki wa matatu (MOA) kimeitisha mgomo utakaoanza Alhamisi, magari...

Pwani: Kiangazi chaleta maafa

KALUME KAZUNGU na SIAGO CECE KIANGAZI kimesababisha maafa katika kaunti mbalimbali za Pwani, ambapo watu wameauawa na wanyamapori huku...

Bei: Wakenya waishiwa pumzi

Na WAANDISHI WETU SERIKALI imeshutumiwa na wananchi kwa kuendelea kufanya maisha yao kuwa magumu zaidi kwa ongezeko la kiholela la bei...

Ushuru wa juu, madeni yachangia bei za juu za mafuta

Na BENSON MATHEKA KUPANDA kwa bei za mafuta nchini kumesababishwa na viwango vya juu vya ushuru, kupanda kwa bei za bidhaa hiyo...

Wario na Soi watozwa faini ya Sh109Milioni ama kifungo cha miaka 20 katika sakata ya Rio

Na RICHARD MUNGUTI WAZIRI wa zamani wa michezo na jinsia Bw Hassan Wario pamoja na afisa aliyeongoza timu iliyowakilisha Kenya katika...

Mkulima anavyokabili kero ya mazao mbichi ya shambani kuharibika kwa kuyaongeza thamani

Na SAMMY WAWERU JEFF Mundia ambaye ni Meneja wa Nairobi Farmers Market, soko lililoko Kiambu Road, kiungani mwa jiji la Nairobi pia ndiye...

Ripoti yaibua wasiwasi kuhusu usalama wa nyama ya nguruwe

Na SAMMY WAWERU UBORA wa nyama za nguruwe unategemea malezi, namna ya kuwasafirisha kuelekea kichinjioni na wanavyotunzwa kabla ya...

Wizara ya Kilimo inavyoshirikisha vijana na kuwapa motisha kuzamia kilimo

Na SAMMY WAWERU WAZIRI msaidizi katika Wizara ya Kilimo, CAS Anne Nyaga amesema idara yake imeweka mikakati kabambe kushirikisha vijana...

Wanaotegemea vibarua vya ujenzi walia nyongeza ya bei ya mafuta kuwakandamiza zaidi

Na SAMMY WAWERU WAKENYA wameeleza kukerwa na ongezeko la hivi punde la bei ya mafuta ya petroli ambayo ilianza kutekelezwa rasmi...

Mkulima hodari anavyotengeneza mbolea asilia

NA PETER CHANGTOEK HUKU akivalia shatitau jeupe na suruali ndefu nyeusi, Jeremiah Wainaina anakitwaa kitoma cha plastiki, kisichokuwa na...

CHARLES WASONGA: Serikali izuie wizi wa vyakula vya misaada kwa wahanga wa ukame

Na CHARLES WASONGA BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kutangaza ukame kuwa janga la kitaifa, kuna uwezekano mkubwa kwamba mashirika mbalimbali...