• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 7:55 AM

Muuzaji bidhaa za hospitali apewa muda kulipa deni la Sh883,000

Na RICHARD MUNGUTI MUUZAJI bidhaa za hospitali alipewa hadi Novemba 2021 kulipa kampuni inayomdai Sh883,000. Bw Godfrey Otieno Ouma...

Kero ya umeme kukatika kila mara Kang’oo

Na LAWRENCE ONGARO WAHUDUMU wa bodaboda katika kijiji cha Kang'oo, Gatundu Kaskazini wamelalamika kwamba kazi yao inaharibiwa na hali ya...

Kenya yapokea dozi 880,320 za chanjo aina ya Moderna

Na KENYA NEWS AGENCY SERIKALI Jumatatu ilipokea msaada mwingine wa dozi 880,320 za Moderna kutoka serikali ya Amerika. Chanjo hizo...

Waiguru ateuliwa kati ya wanawake 100 bora bara Afrika

Na KENYA NEWS AGENCY GAVANA wa Kirinyaga, Jumatatu aliteuliwa na Kituo cha Habari cha Avance kati ya wanawake 100 bora wenye ushawishi...

Matumaini kiwanda kikipokea Sh30m

Na VICTOR RABALLA WAKULIMA wa miwa eneo la Nyanza, wamefurahishwa na hatua ya serikali kukipa kiwanda cha sukari cha Muhoroni Sh30...

Seneta wa zamani awasilisha kesi uchaguzi mkuu 2022 uhahirishwe hadi Novemba 28 2023

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Seneta maalum Bw Paul Njoroge Ben amewasilisha kesi katika mahakama kuu akiomba uchaguzi mkuu wa 2022...

Mutua ataka wizara ikomeshe mtindo wa wanafunzi kufika shuleni mapema sana

Na SAMMY WAWERU GAVANA wa Machakos Alfred Mutua amesikitishwa na jinsi wanafunzi hasa wa shule za msingi wanavyolazimishwa kuamka kuelekea...

Watu 10,000 pekee kuhudhuria sherehe za Mashujaa Kirinyaga

Na GEORGE MUNENE WATU 10,000 pekee ndio wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe za Mashujaa ambazo zitafanyika Oktoba 20 katika uga wa...

Afueni kwa wakazi wa Gatuanyaga barabara ikianza kujengwa

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatuanyaga, Kaunti ya Kiambu wamepata afueni kutokana na ujenzi wa barabara ya Munyu-Gatuanyaga hadi...

Lori la polisi lagonga nyumba za mtaa wa mabanda

Na STEVE NJUGUNA LORI la polisi Jumamosi lilikosa mwelekeo na kugonga nyumba za watu katika mtaa wa mabanda wa Maina, viungani mwa mji...

Baba ndani kwa madai ya kumchoma mwanawe

Na KNA POLISI wa Narok Mashariki, Kaunti ya Narok, wamemkamata mwanamume, 35, kwa madai ya kumshambulia mwanawe wa kambo kwa kumchoma...

Joho ajitokeza baada ya muda mrefu, aomboleza kifo cha BBI

Na VALENTINE OBARA GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, hatimaye amevunja kimya chake kilichodumu kwa zaidi ya mwezi mmoja, kuhusu matukio...