• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 2:29 PM

Visa vya wizi wa pikipiki za bodaboda vyaongezeka Witeithie

Na LAWRENCE ONGARO WIZI wa pikipiki za bodaboda, umezidi katika kijiji cha Witeithie kilichoko Juja, Kaunti ya Kiambu. Wahudumu wa...

Serikali yaendelea kuibua madai dhidi ya Harun Aydin

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Mating’i amepuuzilia mbali madai kuwa serikali ya Kenya imeomba msamaha Uturuki...

Vijana waliofariki mikononi mwa polisi Embu kuzikwa kwenye kaburi moja

Na SAMMY WAWERU KAKA wawili wanaodaiwa kufariki mikononi mwa maafisa wa polisi katika hali isiyoeleweka Embu wanazikwa leo,...

Machifu kuaga afisi za kikoloni

Na MAUREEN ONGALA KWA zaidi ya miaka 60, machifu katika eneobunge la Ganze wamekuwa wakitumia ofisi zilizojengwa na mkoloni. Baadhi...

Natembeya aagiza vituo vya pombe vifungwe kijijini Hodi Hodi

Na SAMMY WAWERU MRATIBU wa eneo la Bonde la Ufa George Natembeya ameamuru kwamba vituo vyote vya pombe vifungwe kijijini Hodi Hodi,...

Mtaalamu awaponda akina mama wanaodai wana maziwa kidogo

Na LAWRENCE ONGARO KUNA umuhimu wa kuelewa maisha ya mtoto mchanga anapozaliwa hadi miaka mitano, kwa minajili ya maisha ya...

Kongamano la ugatuzi kuhudhuriwa na wachache kutokana na corona

Na WINNIE ONYANDO KONGAMANO la ugatuzi linalotarajiwa kufanyika mwezi huu wa Agosti sasa litahudhuriwa na watu 1,000 waliochanjwa kama...

Waiguru awataka wakazi wa Kirinyaga wachukue tahadhari maambukizi ya Covid-19 yakipanda

Na SAMMY WAWERU GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru ametahadharisha wakazi kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona katika kaunti...

Maji ya mafuriko Mto Ngong yatatiza usafiri kati ya mitaa ya Kayaba na Hazina

Na SAMMY KIMATU WANAFUNZI na wafanyakazi ni miongoni mwa watu wanaohangaika baada ya daraja moja kusombwa na maji katika Eneo la...

Serikali yataka walimu warudishe ‘karo’ haramu

Na VICTOR RABALLA WIZARA ya Elimu imeamrisha walimu wakuu warejeshe pesa ambazo wamezipokea kwa njia ya haramu au kuziongeza kama karo...

NMS yafungua rasmi mradi wa maji uliokamilika sokoni Muthurwa

Na SAMMY KIMATU WAFANYABIASHARA katika soko la Muthurwa, Kaunti ya Nairobi wamepigwa jeki na Idara ya Huduma za Jiji (NMS) baada ya...

Hakimu ashuku ipo njama kuchelewesha kesi ya ufisadi dhidi ya Jumwa

Na PHILIP MUYANGA MAHAKAMA ya kusikiliza kesi za ufisadi imelalamikia mienendo ya mawakili wa Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa na...