• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

Makala ya spoti- Pema Ladies FC

NA ABDULRAHMAN SHERIFF HUWA ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wachezaji wa soka hapa nchini kupewa majina ya wachezaji wanaosifika...

Mbunge atilia shaka nyumba za Buxton ujenzi wazo ukiendelea kucheleweshwa

Na WINNIE ATIENO MBUNGE wa Kisauni, Bw Ali Mbogo ametilia shaka mradi mkubwa wa kujenga nyumba za bei nafuu ambao unasimamiwa na...

Bodaboda wahalifu wadhibitiwe haraka

Si jambo geni kwamba wahudumu wa bodaboda humu nchini wamekuwa kero kubwa.Hii ni sekta ambayo imewapa vijana ajira na matumaini ya kukimu...

Polisi wazuia raia kuchota mafuta lori lingine likianguka

Na RUSHDIE OUDIA POLISI Kaunti ya Kisumu waliweka ulinzi mkali kuzuia wananchi kukaribia lori lililoanguka likiwa limebeba mafuta katika...

Watu 8 wauawa katika mashambulizi baada ya ziara ya Matiang’i

BARNABAS BII Na GEOFFREY ONDIEKI WATU wanane wameuawa katika mashambulizi tofauti Kerio na Samburu, siku chache baada ya Waziri wa...

Machifu walivyopora mabilioni ya Covid

Na NDUNGI MAINGI KIASI kikubwa cha Sh10 bilioni zilizotolewa na serikali kusaidia familia maskini kupambana na makali ya janga la corona...

Familia 100 zilizopoteza nyumba zao katika kisa cha moto South B hazijarudi makwao mwezi mmoja baada ya tukio

Na SAMMY KIMATU NAIROBI ZAIDI ya familia 100 ambazo zilipoteza nyumba na mali wakati wa tukio la moto katika mtaa mmoja wa Mabanda...

Polisi walaumiwa kwa uchaguzi duni katika kesi ya mauaji dhidi ya Philip Onyancha aliyeeleza nia ya kuua wanawake100

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Jessie Lesiit aliyemwachilia mshukiwa wa mauaji Philip Ondara Onyancha aliyeshtua kila mmoja nchini kwa ufichuzi...

Mama aomba Korti imnyime dhamana mwanaume aliyewapiga polisi risasi

Na RICHARD MUNGUTI MAMA yake afisa wa polisi aliyepigwa risasi aliomba mahakama isimwachilie kwa dhamana mfanyabiashara anayeshtakiwa...

Msajili amtambua mwenye ardhi ya dhamani ya Sh.200 Millioni

Na RICHARD MUNGUTI MSAJILI wa masuala ya ardhi jana alithibitisha kortini mmiliki halisi wa ardhi iliyoko Riverside, Nairobi yenye...

Bei ya mifugo yapanda zaidi ya maradufu sikukuu ya Idd-Ul-Adha

NA RICHARD MAOSI SHUGHULI za kununua na kuuza mifugo zilishamiri mjini Nakuru, Sikukuu ya Idd-Ul-Adha inapoadhimishwa kote ulimwenguni...

Waislamu wasiojiweza kwenye kaunti ya Nakuru wafaidika na msaada kutoka Uturuki.

MERCY KOSKEY Zaidi ya familia 2,000 kutoka Kaunti ya Nakuru wamefaidika na msaada wa chakula kutoka kwa Ubalozi wa Uturuki nchini ili...