• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 3:58 PM

Mswada bungeni kubuni ‘mwakilishi-wazee’

Na DAVID MWERE MSWADA unaopendekeza kuteuliwa kwa mwakilishi wa wazee na kufutiliwa mbali kwa wadhifa wa wawakilishi wanawake ni kati ya...

Kaunti zahimizwa kutengea sekta ya kilimo mgao wa fedha wa kutosha

Na SAMMY WAWERU SERIKALI za kaunti zimehimizwa kutengea sekta ya kilimo na ufugaji fedha za kutosha ili kuiboresha. Katibu Mkuu...

Mwanasosholojia aliyeanzisha kampuni inayoongeza thamani kwa viungo

Na PETER CHANGTOEK Uongezaji wa thamani kwa mazao ni biashara ambayo husaidia wakulima na wafanyibiashara kuongeza mapato wanayoyapata...

Ukuzaji wa migomba aina ya TCB na Migimbi ulivyo na faida kwa mkulima

  NA PETER CHANGTOEK PRISCAH Wangari, 28, alisomea shahada ya Uratibu wa Miradi na Usimamizi katika Chuo Kikuu cha Moi....

Serikali ya Kaunti ya Kisumu yazika miili 61 iliyokosa wenyewe

Na MASHIRIKA Tafsiri: SAMMY WAWERU.  SERIKALI ya Kaunti ya Kisumu imezika miili 61 iliyokosa wenyewe, kufuatia agizo la...

Odinga aitaka idara ya polisi na mahakama kufanya hima kuangazia suala la watoto kutekwa nyara na kupatikana wameuawa kinyama

Na MASHIRIKA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga ameitaka idara ya polisi (NPS) na mahakama kufanya kila wawezalo kuangazia kero ya watoto...

Rashford kukaa nje kwa miezi miwili akiamua kufanyiwa upasuaji kwenye bega

Na MASHIRIKA TAFSIRI NA: CHRIS ADUNGO MSHAMBULIAJI Marcus Rashford huenda akakosa kuwajibikia waajiri wake Manchester United kwa...

Atlanta yamtimua kocha Gabriel Heinze baada ya kusimamia mechi 13 pekee za MLS

Na MASHIRIKA TAFSIRI NA: CHRIS ADUNGO BEKI wa zamani wa Manchester United, Gabriel Heinze, 43, amepokonywa mikoba ya ukufunzi kambini mwa...

Wezi wa mifugo wauawa Samburu

Na GEOFFREY ONDIEKI   Watu wawili wameuawa kwenye shambulizi kali la wizi wa mifugo eneo la Marti katika kaunti ya...

Mabingwa warejea!

Na GEOFFREY ANENE KAMBI ya Kenya Lionesses imejaa furaha inapolenga kushiriki Kombe la Afrika la mpira wa vikapu la kinadada (AfroBasket)...

Je tutajifunza lini?

Na RUSHDIE OUDIA HATUA ya Wakenya kutojifunza kutokana na mikasa iliyopita ambapo mamia ya watu waliangamia wakichota petroli baada ya...

Kaunti kuanzisha mradi wa maziwa ya watoto wachanga

Na STEVE NJUGUNA SERIKALI ya Kaunti ya Nyandarua itaanzisha mpango wa kusambaza maziwa yaliyoongezwa madini, kwa watoto waliozaliwa na...